Lema, Lissu, kulikoni tena mbona Rais Samia anaenda Marekani?

UNGA hata uwe dikteta gani unaenda. Ahmednajad wa Iran alikuwa anaenda, Gadafi alikuwa anaenda (tena anaenda na turubali lake), Mugabe alikuwa anenda, Chavez, Castrol na viongozi wote waovu walikuwa wanaenda UNGA kama hii anayoenda Samia na hawakutani hata na mhudumi wa serikali ya USA. Hao ni wageni wa UN, serikali ya USA haina Muda nao. Nasubiri Samia aende USA apokelewe na Biden kama ilivyokuwa kwa Nyerere au Kibaki
Nimeshangaa Ritz kutokufahamu hilo.
 
Wanaukumbi.

Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Samia hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia mataifa ya Ulaya na Marekani kuwa Rais Samia, hafai kuongoza Tanzania hamna demokrasia na wamekubali kuwa hawawezi kumruhusu.

Kulikoni tena kesho anaelekea New York Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo, pia atahudhuria mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi.

Lema, Lissu na wafuasi wa Chadema wazungu naona wanawapuuza tu.
Kimsingi Mama (au washiriki wote wa mkutano huo ) wanakwenda UN na sio Marekani. Ni vigumu kuelewa hilo, lakini katika mkataba wa kuanzishwa na kukubaliana kujengwa kwa ofisi zake huko marekani limekaa hivyo. Kuwa Marekani haitaingilia maamuzi ya nani aje na nani asije huko, kwani haalikwi na marekani bali na UN. Soma vizuri mkataba huo kabla ya kuandika zaidi.

Hata wiki iliyopita, mkuu wa mkoa wa N. york aliweka sherti kuwa wakuu wa nchi wote wataoingia katika mkutano huo lazima wawe wamechanjwa. Bolisonero- Raisi wa Brazil alisema hatachanjwa na atakwenda. Mkuu wa UN akasema, UN haina jukumu wala haifikirii kuweka sharti la kuchanjwa ili kushiriki katika mkutano huo. Akaongeza kuwa hilo ni jukumu la wakuu wenyewe. Na Bolisonero atakuwepo huko, jiulize kwanini?
 
Wanaukumbi.

Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Samia hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia mataifa ya Ulaya na Marekani kuwa Rais Samia, hafai kuongoza Tanzania hamna demokrasia na wamekubali kuwa hawawezi kumruhusu.

Kulikoni tena kesho anaelekea New York Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo, pia atahudhuria mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi.

Lema, Lissu na wafuasi wa Chadema wazungu naona wanawapuuza tu.
Dogo UN haina haja kuzuia kigagula kuingua usa, hata yule aliyempindua alfa conde atahudhuria,
 
Lema vipi bunge lenu la katiba kule space linaendelea?
 
"Nimeamua kuhudhuria mkutano huu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na hii ni safari yangu ya kwanza nje ya mipaka ya Afrika kwasababu nina amini katika ushirikiano wetu kwenye kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili Dunia yetu"------Rais Samia
 
Back
Top Bottom