wewe mpuuzi sana.inaonekana umekosa malezi ya baba na mama.wewe kwa akili yako uliona uamuzi alojchukulia vuai wa kusumerize mapendekezo ya wachache ni sahihi?
...
...oyaa !!
Juzi pale milestone niliafiki kwamba ccm Arusha ni kitengo cha Umburura!!! ...Nifunguke ???
Its very sad to have such kind of pple in this forum. We need pple who know why r we where we are, and eager to see the newly reformed country with interlectual, economical and political integrity
umeshaviogesha vibibi vya kizungu?
lema wepi yule waliemwambia kipindi kile kuwa ni ubwabwa au?
....Lema ni baba yenu arusha juzi mlibaba milestone kama wakimbizi !!!
Lema huyu aliekupumulia kipindi kile upo mombasa
Funguka!
Na Yule Mchungaji Mtikila Naye Tumwite Nani Mkuu? Maana Hata Naye Alikuwa Akipiga Kelele Akipinga, Aina Uwasilishaji!!
Chagadema imeisha kisiasa Inatafuta kick kupitia bunge la katiba ... najua povu litawatoka hpa
....Kwa nini mnatumia mali ya uma na machangu ?
Yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.
Kwa staili ya ukwapuaji rasilimali, kutumia majeshi ya ulinzi na usalama kulinda wezi na ujinga wa watawaliwa kama kete ya amani huku wengi wao wakikosa haki muhimu za msingi ni hakika waliofunguka fikra hawawezi kuwa na nidhamu unayoizungumzia. Kwa hali ilivyo watawala wetu ni kama mapepo, huwa hayakemewi kwa kubembeleza ila ni kivumbi mpaka ya toke na hdiyo hali halisi sasa.Yaani mkuu, hata kama anastahili kupinga jambo bungeni, sio kwa staile ile! Ukiangalia mle ndani kuna watu makamo ya babu yake lakini heshima katika bunge ndio inayoweza kumtenganisha mhe na chokoraa! Nadhani anadhani yuko kijiweni mle.
Mbona sikusomi Kamanda?
MSALANI apende asipende mbunge wake ni Lema tu!
Na Yule Mchungaji Mtikila Naye Tumwite Nani Mkuu? Maana Hata Naye Alikuwa Akipiga Kelele Akipinga, Aina Uwasilishaji!!