Lema kweli hana nidhamu

Lema kweli hana nidhamu

Status
Not open for further replies.
Mwambie mama yako afunguke ili akutajie baba yako maana ulizaliwa gesti.

Kuwa na adabu we mlokole feki, hata kama nimezaliwa nyumba ya wageni mi sio wa kwanza, soma biblia utaona siku mama wa Yesu anaingia mjini, alikuta nyumba za wageni zimejaa akamzalia kwenye holi la ng'ombe.
 
Kamanda, hata kama una mapenzi na Lema, jaribu basi kuangalia maneno ya kuandika.
Maajabu haya wewe ndio wakuchagua maneno mazuri ya kuambiwa wakati hoja yako imejaa matusi tu
 
Lema kweli hana adabu anaenda kupiga kelele nyumbani kwa Ritz!
 
Yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.

Olesendeka anaheshima yoyote????

Hivi umeona alivyojiabisha leo..??
 
Yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.

Hivi ubongo wako uko vizuri kweli?
 
Kuwa na adabu we mlokole feki, hata kama nimezaliwa nyumba ya wageni mi sio wa kwanza, soma biblia utaona siku mama wa Yesu anaingia mjini, alikuta nyumba za wageni zimejaa akamzalia kwenye holi la ng'ombe.

Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu.
2 Orodha hii ndiyo ya kwanza iliyoandikwa hapo Kirenio alipokuwa liwali wa Shamu.
3 Watu wote wakaenda kuandikwa, kila mtu mjini kwao.
4 Yusufu naye aliondoka Galilaya, toka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Uyahudi mpaka mji wa Daudi, uitwao Bethlehemu, kwa kuwa yeye ni wa mbari na jamaa ya Daudi;
5 ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba.
6 Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia,
7 akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.
 
Yaani mkuu, hata kama anastahili kupinga jambo bungeni, sio kwa staile ile! Ukiangalia mle ndani kuna watu makamo ya babu yake lakini heshima katika bunge ndio inayoweza kumtenganisha mhe na chokoraa! Nadhani anadhani yuko kijiweni mle.

Kati ya Mwigulu na Lema nani huwa hana nidhamu ya kuzungumza bungeni? Manyani hayaoni kundule
 
craap!!!! wewe ni mpuuzi unae kesha humu na thread za kipuuzi, lema yupo bungen ana wakilisha zaidi ya wananch million 3, wewe hata kuwakilisha familia yako ume shindwa.

Haya tumesikia utetezi wako nenda ukachukue kiroba pale ufipa !
 
Mkuu Ralphryder

Kwani Lema yupo bungeni si alikuja humu ukumbini na kututangazia kuwa anajitoa kwenye bunge la katiba na kurudi Arusha, kulikoni tena.
Mkuu asante kwa kauweka kumbukumbu sahihi huyu Godbless J Lema Alituaga wana jamvi hapa kuwa angeondoka Dodoma Bungeni mwanzoni mwa wiki iliyopita! Nashangaa mpaka sasa karibu siku kumi zinaisha bado yupo tu!
 
Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu.
2 Orodha hii ndiyo ya kwanza iliyoandikwa hapo Kirenio alipokuwa liwali wa Shamu.
3 Watu wote wakaenda kuandikwa, kila mtu mjini kwao.
4 Yusufu naye aliondoka Galilaya, toka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Uyahudi mpaka mji wa Daudi, uitwao Bethlehemu, kwa kuwa yeye ni wa mbari na jamaa ya Daudi;
5 ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba.
6 Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia,
7 akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

MSALANI, nzuri hiyo mkuu, mwambie huyo dogo aheshimu nyumba za wageni na sisi tuliozaliwa humo.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom