Lema kweli hana nidhamu

Lema kweli hana nidhamu

Status
Not open for further replies.
Mkuu asante kwa kauweka kumbukumbu sahihi huyu Godbless J Lema Alituaga wana jamvi hapa kuwa angeondoka Dodoma Bungeni mwanzoni mwa wiki iliyopita! Nashangaa mpaka sasa karibu siku kumi zinaisha bado yupo tu!

Ritz, Yap yap mkuu, na aliaga kwa mbwembwe ila nilisema yule kwa kupenda hela hataondoka! Kweli kabaki ila ndio kawa kituko kabisa heshima hana kwa sababu anawaza hela tu hoja hana! Cheze kilo tatu kwa siku!
 
Last edited by a moderator:
lema ni taahira.. bado bangi inafanya kazi kichwani
 
Ritz, Yap yap mkuu, na aliaga kwa mbwembwe ila nilisema yule kwa kupenda hela hataondoka! Kweli kabaki ila ndio kawa kituko kabisa heshima hana kwa sababu anawaza hela tu hoja hana! Cheze kilo tatu kwa siku!

mchaga aache pesa?
 
Last edited by a moderator:
Maajabu haya wewe ndio wakuchagua maneno mazuri ya kuambiwa wakati hoja yako imejaa matusi tu
Kamanda, upo sawa kweli mie na hoja gani liyojaa matusi au umeamua kukurupuka kunijibu.
 
wewe dada Ralphryder,

Kwani vp tena mbona unafatilia waume za watu? Kama ni nizamu basi Lema ndo mtiifu kuliko woote. Umeelewa? Haya...

Yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.
 
mchaga aache pesa?

Dah! Mchaga Lema kazidi kunogewa na pesa aisee! Anazisaka kwa njia zote duniani, Kwa ulaghai, ujambazi, wizi, per dm za bungeni, ni ile biashara yake nyeti aliyosambaza picha zake watu waijue hiyo biashara nyeti.
 
lema anadai wizi wa magari unalipa kuliko ubunge
 
craap!!!! wewe ni mpuuzi unae kesha humu na thread za kipuuzi, lema yupo bungen ana wakilisha zaidi ya wananch million 3, wewe hata kuwakilisha familia yako ume shindwa.
Kamata like kama kumi hivi mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom