Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,288
mbeba box upo?
...Sasa wewe mahasira ya ya nini si utulie G Lema ndo mbunge wa Arusha !!!
mbeba box upo?
wewe dada Ralphryder,
Kwani vp tena mbona unafatilia waume za watu? Kama ni nizamu basi Lema ndo mtiifu kuliko woote. Umeelewa? Haya...
...Sasa wewe mahasira ya ya nini si utulie G Lema ndo mbunge wa Arusha !!!
Yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.
abakorakamo, Nadhani alichanganya sana na gongo leo.
mkuu. kati ya kubeba box na kukwangua ukoko masufuria kazi ipi inalipa?
Mumeo nini? Mbona unawaka namna hii!
Kuwa na adabu we mlokole feki, hata kama nimezaliwa nyumba ya wageni mi sio wa kwanza, soma biblia utaona siku mama wa Yesu anaingia mjini, alikuta nyumba za wageni zimejaa akamzalia kwenye holi la ng'ombe.
....umeeachika????
hayodaa hayoodaa watu wamelala...
lema leo bangi zilimpanda kichwani
watu wa arusha wanajuta kumchagua chi..
Ubongo wangu uko vizuri sana mkuu, kwa nini?