Lema kweli hana nidhamu

Lema kweli hana nidhamu

Status
Not open for further replies.
Yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.

Weka picha
 
Sawa lakini, Arusha Mjini wananchi wameshashtuka kuwa LEMA ni BOMU, hasa baada ya kuuza lile trekta kwa Mzee Kitasho, Na zile Ambulance Mbili kwa Atish wa ARUSHA ART ..

MSALANI, Mkuu we mwambie ukweli kwamba Lema harudi bungeni msimu ujao! Hata kama Arusha atakuja mpinzani lakini hawezi kuwa Lema, watu waliomchaguwa wamekuwa so disapointed kabisaa.
 
Last edited by a moderator:
Sawa lakini, Arusha Mjini wananchi wameshashtuka kuwa LEMA ni BOMU, hasa baada ya kuuza lile trekta kwa Mzee Kitasho, Na zile Ambulance Mbili kwa Atish wa ARUSHA ART ..

...MSALANI wewe nakuheshimu lakini wenzako walichokifanya juzi pale Milestone ni u p u m bavu katika siasa ndo maana !!!

MSALANI, Mkuu we mwambie ukweli kwamba Lema harudi bungeni msimu ujao! Hata kama Arusha atakuja mpinzani lakini hawezi kuwa Lema, watu waliomchaguwa wamekuwa so disapointed kabisaa.

Nasikia anakwenda kugombea Ubunge Jimbo la HAI na Freeman Mbowe anaenda kugombea jimbo la MOSHI MJINI, kwani NDESAMBURO anastaafu!
 
Hapo ndipo wanapompotezea kabisaa sasa.
 
LEMA zile Machinga Complex na Hospitali ya mama na mtoto itakuwaje tena ilhali 2015 unaondoka?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom