Lema kweli hana nidhamu

Lema kweli hana nidhamu

Status
Not open for further replies.
craap!!!! Wewe ni mpuuzi unae kesha humu na thread za kipuuzi, lema yupo bungen ana wakilisha zaidi ya wananch million 3, wewe hata kuwakilisha familia yako ume shindwa.

ni hv familia utakuwa umempa ujiko, hawezi hata yeye mwenyewe kujiongoza hvy asaidiwe kujiongoza na hata kut mbewa mkewe,
 
...

....MSALANI Mkuu mbona umekimbia waambie wale magamba wenzako yale Machangu ya Milestone yanatusumbuwa huku !!!
 
kweli cc bila kumtaja lema hawana furaha lema nana kawashika ccm jicho la 3 maana mnapiga mikelele muulize nchemba kafunzwa wapi ile adabu mbovu wapi
 
Halafu ukimuangalia usoni ni mkavuuu, hana hata tone la aibu! Kibaya zaidi, haangalii hata umri wake! Anakuwa muongo ka babu wa kikombe mzee wa Samunge!

Kama kachanjiwa vile,ndiomaana hajamaliza michezo umri ule,familia yake kaitekeleza.
 
Mtu akikutukana wewe ni gamba pigana sana maana akili zao ni fupi kama mavi yao,mleta mada umevurugwa na hoja nzito umebakia majungu kama nepi..
 
Yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.

Umewana maccm ndio yana akili jitambue kwa hiyo kelele ni za lema 2u ndio zinazosikika acha propaganda za kikuda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom