Lema kuongea na vyombo vya habari kesho

Lema kuongea na vyombo vya habari kesho

Hii ni press conference muhimu sana sio ya kukosa, haswa kwa kuzingatia, mzungumzaji anaishi Sea Cleef Hotel, 5 Star, press conference Golden Tulip 5 star, ingeendeshewa Chadema ingekuwa no cost involved, hivyo waandishi wa habari pia tutaangaliwa ki Golden Tulip!. Sikosi!
P
Ngoja tuone Kobe alivyopanda mtini
 
Akileta za kuleta, leo ndio utakuwa mwisho wake rasmi wa kisiasa...kamwe sikio halizi kichwa!.
Lema huna hata robo ya cv ya mbowe kwa chadema, ila tazama leo wananchi wanavyombagaza mbowe kwa matendo yake...na hapo bado hajatoa neno rasmi la kuwasema viongozi wenzake wa chadema!
Huna madhara yoyote kwa chadema, wewe ni mdogo mnoo...chadema ndio ina uwezo wa kukupandisha juu au kukushusha chini!!.
Kama huamini, tangaza leo umehamia chauma halafu uone reaction za wananchi zitakuwaje!!.
 
Mama yangu ameingiaje hapa? Una uhakika kama nina Mama?

Hawa ndio makamanda wa sasa wa Chadema hoja inajibiwa kwa matusi.
Idiot.
Idiot mama yako

Next time unapounda sentence zako ziunde kwa umakini. Ukishatamka neno ujinga, utajibiwa accordingly! Angalia genesis ya kukwambia muulize mama yako kama mimi mjinga!
Tusi linajiniwankwa tusi unless umeamua ku ignore ili usitoe neno baya!

Najua haipendezi, lkn ukitoa neno baya nitarudisha neno baya.

Ukitoa neno zuri, nitarudisha neno zuri
 
Hii ni press conference muhimu sana sio ya kukosa, haswa kwa kuzingatia, mzungumzaji anaishi Sea Cleef Hotel, 5 Star, press conference Golden Tulip 5 star, ingeendeshewa Chadema ingekuwa no cost involved, hivyo waandishi wa habari pia tutaangaliwa ki Golden Tulip!. Sikosi!
P
Dogo anatapanya pesa, anaishi luxurious life ila UVCCM hilo kwao siyo issue bali ni kwamba Heche ndiyo hapaswi kuwa na pesa wala kuishi vizuri. Haya mahaba ya chawa wa Samia na UVCCM kwa Lema yameanza lini na chanzo chake ni kipi?
Once a snake always a snake.
 
Back
Top Bottom