TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,536
- 28,511
Ana miradi mingi ya kugharamia haya au chama 'chake' ndiyo kina gharamia!?Hii ni press conference muhimu sana sio ya kukosa, haswa kwa kuzingatia, mzungumzaji anaishi Sea Cleef Hotel, 5 Star, press conference Golden Tulip 5 star, ingeendeshewa Chadema ingekuwa no cost involved, hivyo waandishi wa habari pia tutaangaliwa ki Golden Tulip!. Sikosi!
P