Nsabhi
JF-Expert Member
- Feb 23, 2011
- 1,093
- 162
Pole mkuu. Solidarity Forever
Jioni hii baada ya mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika nmc arusha kuwakumbuka walioawa na polisi JAnuary 5 mwaka Jana. Baada ya hapo tulipita katika hotel ya kibo kupumzika baada ya Lena kulalamika ya kuwa anahisikia vibaya na temperature ikaanza kupanda. Tumempeleka mt. Meri hospital wakatuambie tumpeleke selian kwa urgent service maana mahabara ilikuwa imefingwa. Tupo selian hospital ametundikiwa RL drip na sindano mbili.Temp ipo 40, anakunywa drip ya pili saa hii. Tumuombee uzima mbunge wetuView attachment 44798IMG_1054.JPG