Hiyo ni malaria na huyo mla mirungi, ilikuwa imejificha. Tunamuombea apone haraka.
Pole sana Lema, maradhi ni sehemu ya mwanadamu, Mungu atakukujalia utapona..
Tupo pamoja SL,Amen Rejao....kuna watu hapa wanafikiri kuwa na itikadi tofauti ni uadui, kiukweli tuna tofautiana kiitikadi but kamwe hatuombeani mabaya... Barikiwa.
Mungu amlaze mahali pema peponi kama vipi.
Jioni hii baada ya mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika nmc arusha kuwakumbuka walioawa na polisi JAnuary 5 mwaka Jana.
Baada ya hapo tulipita katika hotel ya kibo kupumzika baada ya Lena kulalamika ya kuwa anahisikia vibaya na temperature ikaanza kupanda. Tumempeleka mt. Meri hospital wakatuambie tumpeleke selian kwa urgent service maana mahabara ilikuwa imefingwa. Tupo selian hospital ametundikiwa RL drip na sindano mbili.
Temp ipo 40, anakunywa drip ya pili saa hii. Tumuombee uzima mbunge wetu
IMG_1054.JPG
Updates
Baada ya vipimo jana usiku,Lema aliruhusiwa majira ya saa nane usiku,na kurejea nyumbani,kwa sasa anaendelea vizuri.Tunawashukuru wote waliomtakia apone haraka,Mungu awabariki