LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Hiyo ni malaria na huyo mla mirungi, ilikuwa imejificha. Tunamuombea apone haraka.
Unalaana ya wazazi wako! Nitakurudia baadae kidogo pepo mchafu wewe!
Hiyo ni malaria na huyo mla mirungi, ilikuwa imejificha. Tunamuombea apone haraka.
mi ni mzima mkuu naona ndo unarudisha majeshi
Updates
Baada ya vipimo jana usiku,Lema aliruhusiwa majira ya saa nane usiku,na kurejea nyumbani,kwa sasa anaendelea vizuri.Tunawashukuru wote waliomtakia apone haraka,Mungu awabariki
Hebu tupe updates ya afya ya kamanda lema leo hii
Sisi tunampenda lakini Mungu anampenda zaidi.
Hiyo itakuwa haina tofauti na wale wasabato walienda kujikusanya uwanja wa ndege na mabegi yao huku wakiomba wakitegemea wajikute wako nje ya nchi.... Ili Mungu akubariki kwenye jambo lolote, lazima na wewe uwajibike kwa percent fulani then inayobaki unamwachia Mungu. Mtu akiumwa ni lazima apate dawa lakini kupona au kutokupona hiyo siyo kazi yake... Wajibu ni kunywa dawa afu unatulia na kusubiri Neema ya Mungu ifanye kazi yake...Kwa hiyo unachosema ni kuwa Mungu hatamponya bila ya dawa, maombi pekee hayafanyi kazi
Jioni hii baada ya mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika nmc arusha kuwakumbuka walioawa na polisi JAnuary 5 mwaka Jana. Baada ya hapo tulipita katika hotel ya kibo kupumzika baada ya Lena kulalamika ya kuwa anahisikia vibaya na temperature ikaanza kupanda. Tumempeleka mt. Meri hospital wakatuambie tumpeleke selian kwa urgent service maana mahabara ilikuwa imefingwa. Tupo selian hospital ametundikiwa RL drip na sindano mbili.Temp ipo 40, anakunywa drip ya pili saa hii. Tumuombee uzima mbunge wetuView attachment 44798IMG_1054.JPG
Nimewapenda bure manake wameonyesha ubinadamu wao. Big up to them, nawaombea Mungu awape maisha marefu.Rejeo na Ritz hawa ni binadamu mwenye akili zao kuliko MS na FF
Pole Lema....
Mbona anashughulika na simu?? haikuwa serious sana?
Tupo pamoja SL,
Asante sana. Tunazidi kumwombea afya iwe njema zaidi.Updates
Baada ya vipimo jana usiku,Lema aliruhusiwa majira ya saa nane usiku,na kurejea nyumbani,kwa sasa anaendelea vizuri.Tunawashukuru wote waliomtakia apone haraka,Mungu awabariki