Lema azidiwa ghafla, alazwa Selian Arusha

ngurati

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
221
240
Jioni hii baada ya mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika nmc arusha kuwakumbuka walioawa na polisi JAnuary 5 mwaka Jana. Baada ya hapo tulipita katika hotel ya kibo kupumzika baada ya Lena kulalamika ya kuwa anahisikia vibaya na temperature ikaanza kupanda. Tumempeleka mt. Meri hospital wakatuambie tumpeleke selian kwa urgent service maana mahabara ilikuwa imefingwa. Tupo selian hospital ametundikiwa RL drip na sindano mbili.Temp ipo 40, anakunywa drip ya pili saa hii. Tumuombee uzima mbunge wetu photo.jpg IMG_1054.JPG
 

Attachments

  • LEMA.jpg
    LEMA.jpg
    48.7 KB · Views: 1,715
ugua pole mkuu tunakuombea upone haraka na Mungu akulinde, endelea kutujulisha tatizo ni nini usikute ni haya mambo kama ya mwakymbe maana bwana mi nishaogapa siku hizi
 
Pole shujaa wetu, inatakiwa check up ya nguvu maana magereza na mic zao hizo, pole kamanda get well soon
 
Akikubali kwenda APOLLO India nadhani mnajua atarudi ndani ya sanduku

akikubali kutibiwa hospitali ya regency then ajue akitoka atakuwa nusu maiti
 
apelekwe India haraka,kabla lolote lile halijatokea,na uchunguzi ufanyike labda Lema+makyembe
 
mungu yuko upande wetu.. Hakuana nguvu ingine iliyo juu yetu. Atapona kwa minaajili ya mapenzi yake na mapambano yataendelea. Ni hali ya kawaida ktk maisha ya mwanaadamu na tuzidi kumuombea mung kamanda wetu. Kamanda wa brigedi ya kaskazini
 
Apewe maji ya uhai lita 12 dumu likiisha tu kapona get well sun mbunge wetu kijana!!
 
Tayari kimeshanuka hapo 40c joto la mwili? fasta India jamani msichelewe,ama pesa haipo?
 
mi nina wasiwasi na hiyo mic isije ikawa iliwekwekwa sumu jamani jembe letu pata nguvu tuendeleze ukombozi
 
Dah nilimuona asubuhi akipita mitaa ya ofice ya mkuu wa mkoa akiwa mzima kabisa jamani....mh dunia na walimwengu wake kina kazi sana
hakuna utu
 
Niliongea nae saa tano asubuhi leo pale Equator Hotel kabla ya kwenda kwenye mkutano. Alikua analalamika kuwa tumbo lilikua linamuuma.
 
Bado nipo hospital, wamempiga sindano ya tatu, amekuja waziri Nagu hapa kumuona lema.
 
Maskin nch yangu,hakuna wa kumuamini sasa,serikal haiaminiwi tena,ni UMAFIA TU!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom