mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,950
Hiyo ni malaria na huyo mla mirungi, ilikuwa imejificha. Tunamuombea apone haraka.
Wewe ni mla nini?
Hiyo ni malaria na huyo mla mirungi, ilikuwa imejificha. Tunamuombea apone haraka.
kawaida tu hiyo, jana niliamka mzima leo hata job nimeshindwa kwenda kwa jinsi 'nnavyoendesha' mfano hakuna. nimelala no underwear wala nini kitu kikiita tu fasta kwenye chumba kidogo
Apewe maji ya uhai lita 12 dumu likiisha tu kapona get well sun mbunge wetu kijana!!
Soma vizuri post yangu "Tunamuombea", au hilo hujaliona?
Sasa kaulize madaktari, anaumwa nini kama si Malaria? wewe vipi wewe? hujui kusoma au una kurupuka tu?
Wewe FF nakujua ni mbishi sana, kama huo ubishi unaufanya na kwa mumeo basi ana hasara sana.