Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Wana Igunga wanazo taarifa za watoto wa RA wanaosoma Uswizi na SA kwa gharama ya kufru Tshs 300,000,000/= kwa mwaka mtoto mmoja?????????????Wahabarishwe!!!!!!!!ccm imewafanya wa tz kama kuku ambaye hanyonyeshi watoto wake na kuku hukamatwa akitaka kucïnjwa na hurud kuwaomba kura tu
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku
Mheshimiwa vipi mbona hutoi kauli kuhusu jina lako linalodaiwa kutumiwa na jamaa flani huko Nzega?Duh, hiki chama chenu kazi kwelikweli! Chama kinaongozwa na umaarufu wa mtu, kilianza na Mbowe na helikopta zake, baadaye Zitto na Buzwagi yake, Slaa na ufisadi, sasa Lema na Mauaji yake ya Arusha...sijui hawa wakihama au wakisaliti kutatokea nini?
Hamjifunzi tu? Tengenezeni mfumo na mjenge misingi ya chama chenu na siyo kutegemea characters/personalities! Those they come and go...
Hakuna think tanks huko wakawashauri? Tumieni hata ruzuku basi mtafute consultant basi awashauri!
CHAEMA hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!
kama unaimanisha cdm...cdm hakuna vitu kama hivi
kama unaimanisha cdm...cdm hakuna vitu kama hivi