ni nani huyu katika maslahi ya taifa.?
Naombeni CV yake.
mkutano umeisha watu wanasambaa
Du kweli ccm hamna aibu! Think tank yenu ndo ile iliyomshauri m-kwere kumuiga Mbowe na helkopta zake ktk kampeni za mwaka jana au?! Hapo wenye think tank ni wapi waliobuni mkaiga au mlioiga walichobuni?! Mlivyofilisika mawazo 2005 mlikosoa sana matumizi ya helkopta, 2010 kilaza wenu akakumbatia matumizi hayo! Hongereni wenye think tank kama siyo think takataka.Duh, hiki chama chenu kazi kwelikweli! Chama kinaongozwa na umaarufu wa mtu, kilianza na Mbowe na helikopta zake, baadaye Zitto na Buzwagi yake, Slaa na ufisadi, sasa Lema na Mauaji yake ya Arusha...sijui hawa wakihama au wakisaliti kutatokea nini?
Hamjifunzi tu? Tengenezeni mfumo na mjenge misingi ya chama chenu na siyo kutegemea characters/personalities! Those they come and go...
Hakuna think tanks huko wakawashauri? Tumieni hata ruzuku basi mtafute consultant basi awashauri!
huyu c ndo mwizi wa majina ya watu, kumbe primary ulikuwa kilaza, inawezekana hata secondar uliiba pepa, kumbe huna akiliDuh, hiki chama chenu kazi kwelikweli! Chama kinaongozwa na umaarufu wa mtu, kilianza na Mbowe na helikopta zake, baadaye Zitto na Buzwagi yake, Slaa na ufisadi, sasa Lema na Mauaji yake ya Arusha...sijui hawa wakihama au wakisaliti kutatokea nini?