Lema awasha moto Igunga

Duh, hiki chama chenu kazi kwelikweli! Chama kinaongozwa na umaarufu wa mtu, kilianza na Mbowe na helikopta zake, baadaye Zitto na Buzwagi yake, Slaa na ufisadi, sasa Lema na Mauaji yake ya Arusha...sijui hawa wakihama au wakisaliti kutatokea nini?

Hamjifunzi tu? Tengenezeni mfumo na mjenge misingi ya chama chenu na siyo kutegemea characters/personalities! Those they come and go...

Hakuna think tanks huko wakawashauri? Tumieni hata ruzuku basi mtafute consultant basi awashauri!

Haya Mbunge....kwa kuwa SADC wanaongea Kiswahili sawa bwana!! Show me your own think tanks...if any....
 
Me Mwenyewe Na ukubwa wangu simjui makamu wa Rais anaitwa nani vile? Safi sana Lema vijana wanapigania maslahi ya taifa ndo wanatakiwa. Hawa kina MAGAMBA tumewachokaaaaaaaaaaaa
 
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku

kwa akili za spika na wapiga makofi wa kila upuuzi lazima uwe unajitosheleza idara zote tuliona wingi wao ulivyomkandamiza zitto bunge lilipita lakini cha ajabu kitendo kile kilimwongezea umaarufu maradufu cha ajabu ccm hawajifunzi wenje ni zaidi ya wabunge wapiga makofi wa ccm mia.
 
Shukrani zinatolewa kwa wana nchi kwa moyo wao wa kuwahi tangu saa 6 mchana ni diwan wa igunga mjin (cdm) anayeongea
 
Ni mrema anaeleza viongozi wa ccm wanatajwa watoto wa vigogo wanavogawiwa vyeo ndani ya selikali wa2 ni wengi sana
 
John mrema anaongea anasema wa2 waloudhuri hawajasombwa na mafuso tofauti na ccm waliokaa dodoma, wakajivua magamba aakiwemo na r a

Siamini kama mrema kalewa kiasi hiko
hayo maneno hayana ushirikiano kabisa
 
Mrema: anasema nafac nyeti wizaran zote ni za watoto wa vigogo na makada wa ccm, ccm imewafelisha watoto kdt cha nne sbbu hajajenga high school wazazi watadimand
 
Safi sana mkubwa,endelea kutujuza juu ya huo mkutano.Vipi idadi ya watu,wameitikia wito wa mabadilko?
 
ccm imewafanya wa tz kama kuku ambaye hanyonyeshi watoto wake na kuku hukamatwa akitaka kucïnjwa na hurud kuwaomba kura tu
 
Wa2 wa igunga wabadilike uchaguzi wao kwa ra ni garama kwa taifa zima wa2 wanashangilia kwel
 
Ni lwakatare, anashangaa kuwa ra anatamba kuwa igunga ipo mfukoni kumbe c kweli, cdm itacmamia raclimali kuendeleza taifa wakati ccm hugawan viongoz4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom