Lema awasha moto Igunga

Lema awasha moto Igunga

Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku
Hujui hata maana ya sera, kama nyie ndio type ya watumwa wa Msekwa basi ana kazi badala ya kumsaidia mnafanya CCM izidi kuchukiwa.
 
ni nani huyu katika maslahi ya taifa.?

Naombeni CV yake.

Ni aibu kubwa kwa chama kinachojidai kuwa kina hazina ya wasomi kuwa na mtu kama lema. kaka unawaomba cv unadhani watakupatia? siyo cv yakutizamika.
 
Ahaa kumbe unaipenda sana ile ya BMW (baba mama na watoto) eeh? Safi sanaaa!
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku
 
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku

tunajua wapambambanaji wa ccm wako kwenye familia chache...kawawa, mnauye, makamba etc etc......
 
Ni aibu kubwa kwa chama kinachojidai kuwa kina hazina ya wasomi kuwa na mtu kama lema. kaka unawaomba cv unadhani watakupatia? siyo cv yakutizamika.

ya kutizamika ikoje?

kusafiri kwenda kubembea nje ya nchi?
kuuza raslimali zetu bila aibu?
kuligawa taifa kwa siasa za udini
 
endelea na sera mfu lema anasongambele tunamuamini sana , kauli hiyo iliwakera ccm milioni tana laki siyo watanzania milioni 35 waliyo salia wote tuliipokea kauli ile na tukaikubali kwakuwa ndiyo dawa pekee ya kuwaadabisha akina makinda wasichakachue kanuni

ni kweli Tanzania yetu ina masela wapatao milioni 2 na kitu na hao ndio waliompa kula muiba wake za watu
 
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku

hata wewe!? Kweli msekwa ameinvest!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Sikonge Mkuu ni kama Kaliua. Inabidi watembelee si Wilaya tu bali wafike hadi walau kwenye TARAFA zote za Sikonge ili kuwasha moto maana SIKONGE kwa kweli, kama Tabora yenyewe iko nyuma, basi SIKONGE sijui tusemeje.

Heri ya walau KALIUA ina Kapuya family na utajiri wao ila SIKONGE, zaidi ya kuwa na wasomi wazee wachache kama Balozi Chokala, Ex-Jaji Mfwalila, Yongolo, Kanumba, Kattala, families na nyingine chacheeee, Sikonge ndiyo haina kitu.

Mbunge wetu ni Mwalimu wa darasa la TATU shule ya Msingi sasa sijui ataongea nini akifika bungeni............

Sikonge kunahitajika kuchimbike hasa kwenye Bongo za watu......... KARIBUNI CHADEMA.
wasisahau kufika wilaya ya sikonge kwa sikonge memba wa jf
 
Cdm ni ya watu wote wenye mapenzi mema na taifa letu, ina makanda wapambanaji wengi wa kutosha kwahiyo watu wacshngae kumsikia lema bado kuna dozen nzima ya watu wnye ari kama kina lema, dr.w.slaa, mdee lisu, mbowe mdee etc kitendo cha kuwatembelea makamanda Igunga kwa rostam ni kizuri sana coz waliowengi wamelala usingizi mnono, hpe moto utakao washwa hapo utamzindua rostam aka mzee wa kutochngia mswada mjengoni, NO SURRENDER, NO RETREAT
 
Duh, hiki chama chenu kazi kwelikweli! Chama kinaongozwa na umaarufu wa mtu, kilianza na Mbowe na helikopta zake, baadaye Zitto na Buzwagi yake, Slaa na ufisadi, sasa Lema na Mauaji yake ya Arusha...sijui hawa wakihama au wakisaliti kutatokea nini?

Hamjifunzi tu? Tengenezeni mfumo na mjenge misingi ya chama chenu na siyo kutegemea characters/personalities! Those they come and go...

Hakuna think tanks huko wakawashauri? Tumieni hata ruzuku basi mtafute consultant basi awashauri!
 
big up Lema!

Nilicheka sana EATv kipindi cha skonga wanafunzi wanane walishindwa kujibu NANI MAKAMU WA RAIS TZ ila sita kati yao waliweza kujibu walipoulizwa nani mbunge wa ARUSHA​

Hiyo kali kweli kweli duh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom