Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Ulipojiunga JF unifanya hivyo kwa kuwa wewe ni great thinker!!!! Kwa hiyo, jamii inatarajia kutoka kwako kwamba utakuwa una una uwezo wa kueleza facts. Mimi ndo nikaona si kweli kwamba CCM ndo wameamriwa kulipa gharama za kesi maana si CCM waliofungua kesi bali ni hao kina mama kwenye picha. Naeleza facts na sio ubabaishaji.....

Kama unataka kuni-challenge lete hukumu ya leo ya mahakama ya rufaa tuone ni nani kaamriwa kulipa gharama za kesi ya Lema!!! Hiyo ndo hoja yangu na wala si mapovu ama chuki ya hukumu. Aliyeshinda kashinda tu. Tunaripoti kama hukumu ilivyoandikwa na si kuongeza maneno yasiyokuwamo kwenye hukumu.

Uwe mwelewa huu si mpira kwamba wewe ni refa na mimi ni mchezaji, kwamba uamuzi wa refa ni wa mwisho, la... Bali ni facts.
Mkuu kazi unayo mwaka huu utaeleza saana mpaka wakubwa zako wakukubali, unadhani hao kina mama wanafedha za kulipa mawakili pesa zote hizo kwa ajili ya kesi hii????? Wewe pia eleza facts!!!
 
nadhani imefika muda kutambua CCM zama zake za Dhuluma na kunyanyasa zimekwisha hongera Chadema -Lema kwa kutokomeza hiyo dhana.
 
Ahsante sana Mkuu Yericko Nyerere katika juhudi zako kubwa za kutuhabarisha kuhusu hili tukio muhimu sana la ushindi wa LEMA dhidi ya mafisadi waliotaka kumng'oa kwa njia za haramu. Hongereni sana Viongozi wote wa CDM katika kuonyesha mshikamano wa hali ya juu katika hii kesi ya Lema. Mafisadi wa magamba nyuso zimewashuka kwa aibu lubwa waliyoipata leo hii.

People's Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
😛eace:

People's Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr😛eace:

People's Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr 😛eace:

😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kazi unayo mwaka huu utaeleza saana mpaka wakubwa zako wakukubali, unadhani hao kina mama wanafedha za kulipa mawakili pesa zote hizo kwa ajili ya kesi hii????? Wewe pia eleza facts!!!

Malyenge nakushauri ukasome kitabu chochote cha Public Finance hususani kwenye issues za Tax Burden, kisha utajua anayetakiwa kulipa ni hao akina mama au CCM.
 
.......Arusha tumefarijika sana kurudi kwa mbunge wetu tulikuwa kama watoto yatima lakini sasa kamanda amerudi tunawasbiri wale migambo waliowekwa na jiji kuhujumu wanachi wa Arusha sasa ni mpaka kieleweke!
 
Wadanganye wapumbavu wenzako lakini wenye akili zao wanajua jinsi gani mnalihitaji jimbo la Arusha Mjini kuliko jimbo lolote nchini....

Inawezekana wewe ukawa mpumbavu zaidi; unajieleza wazi CCM haiwezi kushinda kila jimbo!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Magamba wamekosa pakutokea: Kurudia uchaguzi Arusha wangeshindwa; mahakamani hoja zao hazina msingi; kutumia vitu vyenye ncha kali kwa mambo.ya kisheria. hawezekani...nje ya sheria na serikali wananchi hata ambao hawakwenda shule waliona ni.uonevu...nauona ukombozi wawatanzania dhidi ys mafisadi kwa karibu sana
 
Umesoma nyuzi za kina saanane na heche na wenzao wanavyolipuana kwa rushwa?

Una maana Lema kahonga? funguka kijana.

Saanane, Heche na wenzao wanaingiaje kwenye kesi ya Lema?

Whether or not Lema angeshinda kesi, whether or not Lema amehonga, bado isingeondoa image mbaya ya mahakama zetu kunuka rushwa ndani na nje ya nchi.

Nakumbuka kuna siku ulikuja na thread hapa ya sijui ndugu yako kufanyiwa mbaya na polisi.

I am sure ipo siku utakuja na thread kuhusiana mahakama pia. Time will tell.
 
Back
Top Bottom