Umeona eeeeh? Hahahaaa......!Mkuu, Hawa ndiyo wanasiasa wetu. Wanaongea tu bila hata kupima kile wanachokiongea kwa sababu katika mawazo yao wanafahamu hata wasikilizaji nao ni kama wao.
Ukizifuatilia hotuba nyingi za 'wanasiasa' wetu, unaweza ukapatwa na mshangao. Kwa Tanzania, ukiwa na uwezo wa kupiga domo basi unakuwa 'mwanasiasa' maarufu. Objective reasoning nchini kwa wanasiasa na wananchi wengi zinaonekana kama boring politics.
Jaribu kuangalia, wanasiasa ambao mara nyingi huongea 'pumba' ndiyo maarufu katika vyama vyao. It tells something!!
Mkuu yaya Tundu Antipass Lissu ndiye badala ya Mbowe/Rais Slaa
Mkuu kazi unayo mwaka huu utaeleza saana mpaka wakubwa zako wakukubali, unadhani hao kina mama wanafedha za kulipa mawakili pesa zote hizo kwa ajili ya kesi hii????? Wewe pia eleza facts!!!
Mkong'oto huu kwa CCM ni Murwa kabisa, na bado.Facts zipi? Za fedha za kuendeshea kesi? Kwani Lema yeye alitoa wapi pesa za kugharamia rufaa yake? Unataka tuanze kueleza facts za wapi mtu alipata pesa za kuendeshea kesi? Je, tutakuwa ni great thinkers kweli? kwani Lema kwa kusaidiwa na chama chake kuisimamia kesi mpaka mwisho ni dhambi? Ila dhambi ni kwa upande wa pili?..... No, no, no!!!! We are wrong... Tunachokizungumzia hapa ni facts ambazo tunaweza kuzithibitisha kutoka kwenye hukumu... na si mawazo ya mtu anavyofikiria. Bila kujali Lema alitoa wapi pesa ya kesi yake ya rufaa mwisho wa siku tunasema "Lema kashinda kesi....." Hatusemi, "Baada ya kupewa pesa na SABODO Lema ameshinda kesi..." Hatusemi na wala haitupasi kusema hivyo. Vivyohivyo, kama mtu alipewa pesa ili afungue kesi dhidi ya Lema mahakama haiwezi kuthibitisha hilo, na hata ikithibitisha haiwezi kulitambua. Inamtambua mhusika mwenyewe an si wapi katoa pesa. Kama vile chuo kinavyomtambua mwanafunzi wake akihitimu kinampa cheti yeye na si mfadhili wake basi na mahakama inamtambua aliyefungua kesi na si mfadhili wake. Hizo ndo zinaitwa FACTS.
Mkong'oto huu kwa CCM ni Murwa kabisa, na bado.
Ni misukule ya EL-![]()
Hawa ndo waliofungua kesi
Hawa watu mbona sura zao kama wanaenda kunyongwa vile?
".....................nataka kujifunza neno hili kutoka kwenu". Waraka wa mtume Paulo kwa Wagalatia.
Chama
Gongo la mboto DSM
..........Wagalatia 3 : 2 Nataka kujifunza neno hili moja kwenu. Je! Mlipokea Roho kwa matendo ya sheria, au kwa kusikia kunakotokana na imani?
Yapime mwenyewe kwa utashi wa roho yako!
Chama
Gongo la mboto DSM