Nasikia ni Nyakarungu huyu jamaa nae nilishaanza kumshtukia ni mamluki...track iko sokoni leo...
Mama huyu anashangilia ushindi wa Mbunge wa Jimbo Arusha,Lema
![]()
Huu ni muendelezo wa kazi ya ukombozi wa wanyonge, Watanzania tutakuwa Huru tu coz Makamanda tutaipigania nchi yetu hadi kieleweke.Mwisho wa udharimu,ulevi wa madaraka,ufisadi na kila aina ya uchafu wa hii Serikali ya CCM ni 2015.
Big up saana pipoooziiiiiiiiiiiiiiiii............................
Mkuu usipoteze muda kujadiri wagonjwa. na washukuru Global Fund kwa kutoa dawa bure....
Tunashukuru mkuu kwa taarifa hii nzuri sana, hilo CDM imelipangua waje na lingine!!! Peoplesssssssssssssssssssssssss!!!!!
Ni zawadi ya NOELI na mwaka mpya kwa wasaka ukombozi wa taifa hili (WANANCHI) na pigo takatifu kwa mafisadi, wezi wa rasilimali za taifa hili na wasaliti wa ukombozi
[video=youtube_share;Jv0H_81TCoI]http://youtu.be/Jv0H_81TCoI[/video]
Mnyika unachemka kusema CCM walikosea kumvua Lema ubunge kwa sababu eti alienda vijijini kuendeleza Movement. Basi hata hizi shamra shamra za leo might as well be mdundiko wa mtaani ambap hauna cha maana kwa sababu ni bora abaki huko huko in the grassroots, manake si umesema ilikuwa poa? Not to mention wabunge wanatakiwa waende vijijini anyhow, sio mpaka wavuliwe ubunge. Na wewe ndio supposed to be among the most eloquent voices of the party, unachemka namna hii?
Na si kila supporter wa CHADEMA ni shabiki wa Manchester na Barcelona. Unapokuwa jukwaani for public speech ndugu Mnyika, jaribu kutumia neutral rhetoric ambayo hai alienate baadhi ya supporters wako.