Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

kweli kabisa mkuu,haka katabia ka usaliti kameanza siku nyingi tangu ilipoundwa tume ya kupitia upya mikataba ya madini nikawa nimehisi kuna watu walikuwa bribed na wakawa vigeugeu madhara yake ndo tunayaona mpaka leo.

Kabisa mkuu, mimi nlikua siamini eti nkawa nahisi kuna mtu ananyanyaswa..kumbe ni snitchs hawa ona sasa jinsi ukweli unavyowahukumu,kamanda ben amewavua nguo jamvini,hawajui wanachosema, wanakuja na thread za kipuuzi,wanacreate ID fek zinazougua pumu, game ngumu mapovu yanawatoka, wana hela wamekosa akili na Mungu. CHADEMA Mungu, Umma na Maarifa ndo star tofauti ndo zinakip on peak!
 
Katika wanasiasa naowakubali kitaifa na kimataifa huyu kamanda namkubali ile mbaya!yaan kama ushwahi kuwasikia watu waojua kutekeleza majukumu yao bila unafiki na kwa ukweli na uwazi huyu mmoja wao sasa ngoja tuone moto wa gesi utakaowaka Bungeni!hakika ukombozi umewadia sasa toa jembe weka majembe mpaka mwiso.:majani7:

Mkuu Masalia wakikusikia watakuloga.
 
DSC00031.JPG


Mama wa kati anasinzia au anatafakari kama EL atakubali kulipa gharama za kesi au imekula kwao"
 
"There are currently 2186 users browsing this thread. (747 members and 1439 guests)"
leo waliojiunga JF hakika ni wengi sana kisa hii habari, jf ni media tosha ni zaidi ya clouds fm watu waliotizama tu hii habari ni ni more than 24000. jf ni noma.
 
Ni wakati wa kuunganisha chama sasa, kwangu furaha itakamilika endapo ntasikia vijana chadema wameshikana mkono na kuamua kuunganisha nguvu zao ili kukijenga chama chao
 
Hongera kwa wana wa Arusha.Hongera kwa CDM na hongera kwa watanzania wote wapenda mabadiliko.G.Lema ni mbunge pekee aliyeonesha ushujaa wa kuigwa wa wakimapinduzi hapa Tz .Angalia serikali ilimpeleka magereza pale Kisongo kwa siku 14.Amepigwa mabomu tar.5 mwezi wa kwanza 2011 amepigwa virungu na polisi hakukata tamaa.Walimuvua ubunge hakukata tamaa aliendeleza harakati za kujenga chama leo hii Mungu amethibitisha udhalimu wa magamba walioshinikiza jaji wa mahakama kuu ya Arusha kumuvua ubunge.Mungu ibariki CDM na watanzania.ameee.
 
mkwara wa juzi wa Mbowe umesaidia, kwamba 2013 itakuwa ni nguvu ya umma kivingine hadi kieleweke
 
Back
Top Bottom