Taarifa zilizothibitishwa kutoka kwa watu wa karibu yake zinabainisha kuwaMhe. William Vangimembe Lukuvi Mbunge wa Isimani na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge),amesikitishwa sana na Uamuzi wa Mahakama ya Rufaa iliyompa Ushindi Mhe. God bless Lema. Labda hii inatokana na mtazamo binafsi aliyonayo Mhe Lukuvi juu ya Lema ambao amekuwa akiuonyesha mara kwa mara Bungeni hasa ambapo Lema alipokuwa akichangia hoja au kuwasilisha taarifa fulani ......Sina shaka Lukuvi ataongea tu ya moyoni very soon...