Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Yyehuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
viva chadema, viva Lema viva r chuga pipooooooooooooooz!
 
Invisible naomba huu uzi uwekwe na side b yake ili mtu akichelewa asome side A wengine tuendelee na side B, mipage ikiwa mingi sana aliyechelewa anateseka sana na hawezi kupitia page by page.
 
Last edited by a moderator:
[video=youtube_share;Jv0H_81TCoI]http://youtu.be/Jv0H_81TCoI[/video]

Mnyika unachemka kusema CCM walikosea kumvua Lema ubunge kwa sababu eti alienda vijijini kuendeleza Movement. Basi hata hizi shamra shamra za leo might as well be mdundiko wa mtaani ambap hauna cha maana kwa sababu ni bora abaki huko huko in the grassroots, manake si umesema ilikuwa poa? Not to mention wabunge wanatakiwa waende vijijini anyhow, sio mpaka wavuliwe ubunge. Na wewe ndio supposed to be among the most eloquent voices of the party, unachemka namna hii?

Na si kila supporter wa CHADEMA ni shabiki wa Manchester na Barcelona. Unapokuwa jukwaani for public speech ndugu Mnyika, jaribu kutumia neutral rhetoric ambayo hai alienate baadhi ya supporters wako.

 
Leo ilikuwa siku ya hukumu ya rufaa ya kamanda godbless lema katika mahakama ya rufaa jijini dar es salaam. Mbona matokeo ya rufaa hiyo badohayajafika katika mtandao wa jf!
 
Hatimaye Jembe larejea shambani.

...Na hatimaye Chepii umerudi jukwaani! Arusha kweli tulikuwa kama yatima tangu April. Penye ukweli uongo hujitenga, karibu kazini Mh. Mbunge Halali Godbless Lema!
 
Last edited by a moderator:
Ongera sana kamanda. ss naomba tupige kazi kwa bidii zote. Mm kama kamanda wa Arusha ningepenada tuwe na siku za usafi apa Ars. kwa nfano kila j'mosi makamanda tufanye usafi wa jiji. peoooooozzzzzzz!!!!!
 
I salute you comrade Lema. all these happened for the sake of making a History.
 
Ninafurahia kweli uzalendo wa CDM kwakuvaa mavazi ya kiutamaduni wa baadhi ya makabila ya Tanzania kama migorore....Hii ina inua sense of belonging kwenye Taifa letu na nimoja ya mbinu ya kuujenga utaifa wetu..Big up comrades!

Hongera kamanda Lema hatimaye tuna wewe ndani ya house la kutunga sheria....Arusha nimewaaminia you truly are patriotic and are determined to set a course of change for our beloved mother landa Tanzania!
 
Tunashukuru mungu leo hakuna vitu vizito vyenye ncha kali vilivyotumika maeneo hayo
 
Back
Top Bottom