Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

sasa unatokwa mapovu yote ya nini

Ulipojiunga JF unifanya hivyo kwa kuwa wewe ni great thinker!!!! Kwa hiyo, jamii inatarajia kutoka kwako kwamba utakuwa una una uwezo wa kueleza facts. Mimi ndo nikaona si kweli kwamba CCM ndo wameamriwa kulipa gharama za kesi maana si CCM waliofungua kesi bali ni hao kina mama kwenye picha. Naeleza facts na sio ubabaishaji.....

Kama unataka kuni-challenge lete hukumu ya leo ya mahakama ya rufaa tuone ni nani kaamriwa kulipa gharama za kesi ya Lema!!! Hiyo ndo hoja yangu na wala si mapovu ama chuki ya hukumu. Aliyeshinda kashinda tu. Tunaripoti kama hukumu ilivyoandikwa na si kuongeza maneno yasiyokuwamo kwenye hukumu.

Uwe mwelewa huu si mpira kwamba wewe ni refa na mimi ni mchezaji, kwamba uamuzi wa refa ni wa mwisho, la... Bali ni facts.
 
Tulianza na MUNGU, tunaendelea na MUNGU, tutamaliza na MUNGU.
 
Mkuu Pasco, kwanza ni kupongeze kwa kuongea kutoka moyoni, leo nimekuona watofauti sana kutokana na maandishi yako haya. Ni zaidi ya miaka 10 na kufahamu ila leo umebadilika sana, Inaelekea umeanza kuwa mtoto mzuri! usiyefungamana na upande wowote!......
Mkuu Tumsifu Samweli, Kama ni kweli unajihesabu unanifahamu kwa zaidi ya miaka 10, na leo ndio unaniona nimebadilika, basi ujijue hunifahamu, japo ulidhani unanifahamu labda kama unanisikia tuu au kuniona tuu!, wanao nifahamu, wananifahamu! . Pasco ni yule yule, juzi, jana leo kesho na milele!. Sifungamani na chama chochote, ila kuna watu ninawaunga mkono, ni wale wale na vyama vile vile!.
P.
 
Hii ni zawadi nzuri mno ya Christmas na mwaka mpya kwa CHADEMA na wote wenye kuitakia mema Tanzania. Hongera wana mageuzi, CHADEMA, Majaji, wana Arusha na Watanzania wote kwa ujumla.
 
Lema Hongeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....leo Bukoba hapa Viroba na Samaki wa Kwenye foil vitatuuuuuuuuaaaaaaa.........peopleeeeeeesssssssssssssssss.................................pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....................
na senene juuuuuuuuu
 
Xmass ndio imeanza leo,kula vitu tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ama kweli huyu alikuwa mtu wa watu wa Arusha, hongereni sana watu wa arusha sala na dua zenu Mwenyezi mungu amezisikia sasa kazi iiyobaki ni moja tu kumuunga mkono mbunge wenu kutekeleza yale yote aliyodhamiria kwa jimbo lake.

Nina hakika muda huu CCM wanalaumiana kwa upuuzi waliofanya wa kupinga hayo matokeo na hizo ni salamu tosha kuwa ukombozi upo ewazi katika siku za usoni.
 
hongera zake, nadhani huu ushindi utakuwa ni moja kati ya credit ya hali juu kwake katika maisha yake ya kiasa
 
Katika wanasiasa naowakubali kitaifa na kimataifa huyu kamanda namkubali ile mbaya!yaan kama ushwahi kuwasikia watu waojua kutekeleza majukumu yao bila unafiki na kwa ukweli na uwazi huyu mmoja wao sasa ngoja tuone moto wa gesi utakaowaka Bungeni!hakika ukombozi umewadia sasa toa jembe weka majembe mpaka mwiso.:majani7:
 
here are currently 864 users browsing this thread. (518 members and 346 guests)

pipoøoooziíiiiíi lema oyeeeeeeeeeee jaman i wsh nngekuwa arusha nw sipat picha ikoje leo hapo arusha..yan ninafuraha ya ajabu..UKWEL N KWAMBA ALICHOKIPANGA MUNGU BINADAMU HAWEZ KUKIPANGUA..KAMA YES YES TUU..Lema lema, lema, lema, lema, lema lema....
 
Hongera sana Lema! Hii ni zawadi tosha ya Xmass. Ongeza nguvu bungeni. Changia kwa kila hali katika kuharakisha mabadiliko ya kweli.
 
Wakuu hongereni wote. Kesi ya Lema na ubunge wa Lema vilikuwa vya watanzania wote. Mahakama imejitenga kidogo na mashinikizo ya wa-tawala. Limekuwa fundisho pia kwa CCM na wanachama wake. Uchaguzi ujao hawatathubutu kupeleka kesi za jinsi hii mahakamani na hapo ndipo nauona ukombozi wa mtanzania dhidi ya ufisadi. Hongera sana Lema.
 
tupe link mkuu umesahau kuiweka,nadhani ni furaha ya ushindi ukipata whisky somewhere!!
 
Back
Top Bottom