Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,071
- 15,211
Uliishawahi kuikubali legacy ya Mwamba Magufuli?Rais Samia ameshakaa madarakani kwa zaidi ya miaka 5 kama Rais wa nchi yetu Tanzania hivyo ni jambo la busara kuanza kutahimini utendaji wake na kama kuna legacy yoyote atakayokumbukwa nayo siku hayupo madarakani.