Hii inategemea na unachofanya kuchagua computer hata yale madesktop ya Dell ya stationery yanayofanana na scania Ila unakuta ram ni gb2 na hdd 160gb.
Kitu muhimu ni nini unataka kufanya ndio kinaamua utumie nini.
Artificial intelligence upa de wa machine learning inategemea data unazochakata kama ni biological data hapo unahitaji kifaa haswa na kama ni normal data inaweza tumia pc yoyote lakini iwe na uwezo wa kurender unachofanya kwa haraka atleast 4gb ram, hdd 500gb processor yenye speed nzuri inaanzia gen ya tatu hapo una HD graphics kwa mtoto wa maskini si mbaya.