Awiaman ooza
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 516
- 854
Sawasawa ipoje hii nipe specification kidogo mkuuTafuta hp victus
Tafta hp iwe na ssd 500GB+ sio HDD, core5+, processor ikiwa na 2+ itapendeza.Wakuuu za sahizi nipo Dar nilikuwa natafuta PC
Au laptop nzuri ya 2.2M kama budget yangu
Nilikuwa naomba muongozo wa sehemu nzuri ya kuipatia na pia specifications zake
Napendelea kampuni ya dell
Nipo chuo 1st year napiga IS
Shukrani πβΊοΈ
View attachment 2567086View attachment 2567087
Hivi AI inataka pc yenye uwezo gani mkuuuuTafta hp iwe na ssd 500GB+ sio HDD, core5+, processor ikiwa na 2+ itapendeza.
Ikiwa na feature hizo utafanya mpaka android bila kukusumbua.
AI tu ndio inahitaji cloud vingine vyote utafanya.
Note: hp kwa sababu kuna mafundi wengi na spare bongo pia ni nzuri ilikuwepo before apple enzi za IBM
Kwanza naona umecheka sijakuelewa unachekea nini!?Hivi AI inataka pc yenye uwezo gani mkuuuu
Basi tu kwani ni mbaya kucheka mkuuuuKwanza naona umecheka sijakuelewa unachekea nini!?
Huruhusiwi kucheka kwenye darasa la programmingπππBasi tu kwani ni mbaya kucheka mkuuuu
Naomba ujibh swali
Model za AI kama unaanza kuzitrain from scratch zinatumia mamilion ya data so pc yako kwa processor yake haiwezi, kuna kitu kinaitwa GPU nayo angalau lakini kama transfer learning haitumii data nyingi japo utahitaji pia cloud.Kuna ndugu yangu ana dell latitude 3420 vore i5 11 th generation kwani hii haifai kwa AI mkuuu π€ Duc in altum ssd 512 gb ram 8gb
Cloud ndo nn sasa mkuuu sijaelewa na inataka pc yenye uwezo gani π€πModel za AI kama unaanza kuzitrain from scratch zinatumia mamilion ya data so pc yako kwa processor yake haiwezi, kuna kitu kinaitwa GPU nayo angalau lakini kama transfer learning haitumii data nyingi japo utahitaji pia cloud.
Cloud tunatumia kufanya training ya model yako vingine vyote utafanyia kwenye pc yako
Inafaa ila kwa 2.2m kununua gen ya 11 unapigwa.Kuna ndugu yangu ana dell latitude 3420 vore i5 11 th generation kwani hii haifai kwa AI mkuuu π€ Duc in altum ssd 512 gb ram 8gb
Ok sawasawa asanteInafaa ila kwa 2.2m kununua gen ya 11 unapigwa.
Kwa hio budget minimum Ryzen 3 tena iwe Rembrandt ama intel Gen ya 12 kupanda, ama Macbook Air M1 kwenye sale.
Kama hujali ukaaji chaji na portability Tafuta yenye Rtx 3050 ti, itakua na nguvu na itafanya majority of tasks hata nje ya programing.
Kama portability na ukaaji chaji ni priority tafuta zenye Amd Ryzen 6800u, 6600u, 6800Hs etc ama intel i5 1230u.
Cloud ni server ziko online kuna kampuni nyingi kama amazon, zipo za free na kulipia kutegemea na ukubwa wa project yako.Cloud ndo nn sasa mkuuu sijaelewa na inataka pc yenye uwezo gani π€π
Kwaiyo hio server unai install kwenye pc yako sio eeeh π€ au inakuwajeCloud ni server ziko online kuna kampuni nyingi kama amazon, zipo za free na kulipia kutegemea na ukubwa wa project yako.
Mkuu nimesema ziko online una-register account yako unafanyia onlineKwaiyo hio server unai install kwenye pc yako sio eeeh π€
Ai zinatumia NPU, Neural processing unit.Model za AI kama unaanza kuzitrain from scratch zinatumia mamilion ya data so pc yako kwa processor yake haiwezi, kuna kitu kinaitwa GPU nayo angalau lakini kama transfer learning haitumii data nyingi japo utahitaji pia cloud.
Cloud tunatumia kufanya training ya model yako vingine vyote utafanyia kwenye pc yako
Ok sawasawaMkuu nimesema ziko online una-register account yako unafanyia online
Jesuuu kwaiyo kama una GPU haiwezi kutumika sio π€Ai zinatumia NPU, Neural processing unit.