Laki tano tu unaweza badilisha historia

Laki tano tu unaweza badilisha historia

Mashauzi tu...
Mashauzi kweli, yeye alianza kufanikiwa akiwa shamba ama hapahapa mjini tena kwa kuuza sura. ..yeye ashukuru tu Mungu kizali na madili baada yakuonekana ktk kideo, aondoe ushamba na ulimbukeni wake. ..
 
Wote wakilima matikiti nani atanunua ya mwenzake? Hao mabenk teller si ndo wananunuzi wa hayo matikiti? au yeye anayauzia nje?

Kwa sehemu alichosema ni kweli lakini Mtaji na Soko ndo vitu vinavyowakwamisha wakulima. Kama mtaji ungekuwa laki tano wangetoka wengi. Zaidi ya 70% ya wananchi wa NJI hii ni wakulima. Je hawajawahi kupata hiyo laki tano?
 
Nenda na laki tano yako uone kama hukurud mjini kwa miguu!!! Aache kudanganya watu. Kama ni kilimo cha biashara lazima uwe na mtaji wa kutosha baada ya kupiga hesabu za kuanzia kukodi shamba, kulipa wafanyakazi, pembejeo mpk kuvuna
Mbona yeye hakuanzia huko shamba?!?!?! Unadhani shamba ni kwa kuingia kichwa kichwa. Hata hao mateller wanajipanga one day wataanzisha kidogokidogo kama yeye alivyofanya!
 
Word son...

Jamaa ameongea bila research ameongea fantasy......

Nawambiaga watu mara nyingi tuchunge midomo zetu tuangalie maneno ya kuongea wakati mwingine bora kukaa kimya tu mkuu
They ain't know what they are talking, ni kama viongozi wetu tuu na maprofesa, ati tukalime wakati wao wameajiriwa.
 
Mnaambiwa ukweli mnatukana, mtakufa na umaskini kwa ubishi wa kukubali ushauri halafu mwisho wa siku mnaanza kutoa sababu kibao na chuki binafsi... Ooh mara muuza sembe tu yule sio bure!
kama unadhani huo ndiyo ukweli basi nenda kajaribu kulima matikiti na laki 5 yako ...halafu baada ya miezi mitatu njoo ushuhudie hapa utajiri.... wakulima wangapi wa matikiti na wa mpunga unaowafahamu wametoka kama masanja? hizo ni stori tu
 
Masikini akishapata lazima ... ilie mbwata. Hivi Masanja wakati unazunguka na bidhaa jijini ukiwa mmachinga hayo mashamba yalikuwa yamekwisha huko kwenu Ludewa. Leo hii unabeza kazi za wateja wako waliokuweka mjini kitambo.

Kila kazi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi na mzunguko wa life kiujumla, ni mpuuzi pekee awezaye kufikiri wote tunaweza kulima nyanya au auze maji na wote tuwe na maisha mazuri. Hao wanaolipwa laki 5 wote wakitoka ofisini wakauze maji au kulima vitunguu atanunua nani?

Kilimo kingekuwa simple kama unavyobwatuka unadhani nani angekuja mjini kufanya kazi ya laki 5 unayoibeza, mbona Masanja ulikuja ukakomaa hapa hadi ukatoka baada ya kuungua sana na jua. Ulishakuwa hadi HOUSEBOY wewe, leo hii teller wamuona kama hana akili au hana malengo na maisha haya.

Mmekaa tu mnaongelea kilimo kana kwamba ni rahisi saaana. Mngejua watu wanaozewa na mazao mashambani huku kwa kukosa masoko. True vipo vinavyolimwa vinalipa haraka lakini havistawi nchi nzima na kwingineko gharama za kuvilima si ndogo.

Masanja hukutoka kwa sababu una akili kuliko vijana wanaosota,huo ni mzunguko wa maisha tu na bahati iliyochagizwa na kipawa. Ulijituma ndio lakini haimaanishi wasiotoka hawajitumi. Chunga kauli zako bro.
Ulishakuwa hadi HOUSEBOY wewe, leo hii teller wamuona kama hana akili au hana malengo na maisha haya.
Safi Sana hii
 
Mimi ni mkulima wa siku nyingi heka 1=60000 zikiwa 10 ni zaidi ya laki tano, msikurupuke
 
Siwapendi wanaojifanya matrainer wa design hii..wamejawa uongoo mwingi
Watu wamejaa fake assumption ingawa kuna ukweli fulani lakini ni vigumu kufanya hivo wakati what you all have at the moment kwenye mfuko ni hiyo laki tano. Huyo jamaa anaongea tu.. we empe hiyo hiyo laki tano umpeleke akalime maharage apate hiyo milioni 3 kwa miezi mitatu.... kuna ukweli huwa hausemwi na hauonekani pia kwa hawa wanaojidai ma trainer dizaini ya mtoa mada.
 
Nenda na laki tano yako uone kama hukurud mjini kwa miguu!!! Aache kudanganya watu. Kama ni kilimo cha biashara lazima uwe na mtaji wa kutosha baada ya kupiga hesabu za kuanzia kukodi shamba, kulipa wafanyakazi, pembejeo mpk kuvuna

kuna kula na kulala wakat wa kulima,
hujaugua hapo.
laki tano ni kahela kadogo sana labda aniambie anasema laki tano lkn ni mfano tu.
Mimi niliwahi kulima mihogo ya KAEMP ina soko sana huko UGANDA, nililima miche elfu tatu, nlipo vuna, nikapata karo nikaja hapa Dar nikajiunga na chuo cha ualimu STMARYS nimemaliza nasubiri post, kazi ya kilimo hiyo. Big up Massanja

c ungeendelea na kilimo mbona umekimbia??????????
 
Nakubaliana na wewe kiongozi. What is good for you or has worked for you, may not necessarily be good or work for your colleague. Maisha ndivyo yalivyo. Kila mtu ana namna yake na itaendelea kuwa hivo. Kikubwa tusidharauliane kwa vipato. Maisha ni uamuzi na uchaguzi. Kama umefanikiwa wewe mshukuru Muumba wako kwa kukuchorea mipaka ya upendeleo. Hata huyo Bank teller ana malengo na maono. If he/she can take his children to school and feed his family.kwakwe yanaweza kuwa ndo malengo yake aliyojiwekea. I mean hakuna standard index ya mafanikio. Everyone defines his/her own success.

succes bhana kila mtu ana difinition yake
mwingine hata mjini hakutegemea kufika so kafika na maisha yanaendelea kwake ni success hata awe na room moja.
mwingne hakufikiria kumiliki simu yenye camera lkn leo anayo so kwake ni mafanikio tosha.
mtt wa mkulima mm niliesoma kwa kuungaunga hatimae nikapata chance ya kuitwa ktk interview ya mateller kati ya 2000 tuliofanya interview kumi tuliopita na mm nimo napata laki zangu 5 kila mwezi na viposho maisha yanaenda kwangu ni success.
 
kuna kula na kulala wakat wa kulima,
hujaugua hapo.
laki tano ni kahela kadogo sana labda aniambie anasema laki tano lkn ni mfano tu.


c ungeendelea na kilimo mbona umekimbia??????????
Suala la kilimo kama shughuli nyingine lina changamoto zake. Mimi binafsi nililima karanga miaka ya nyuma ekari 12 na kwakweli lengo kubwa lilikuwa nikishauza mazao niachane na kazi ya kuajiliwa. Bahati mbaya sana katika hatua za mwisho hali ya hewa iliniathiri sana. kifupi sikupata hata zile za mbegu. What I can say here ni kwamba kilimo ok lakini kilimo cha kutegemea mvua inabidi kufikiria mara mbili. Off course sijakata tamaa kwani naamini kilimo kitanitoa. kuna rafiki zangu wawili niliwashauri kulima na sasa maisha yao kwakweli yako juu sana. Tuache kukatishana tamaa humu JF binafsi narudi shamba na nitaleta mrejesho.
 
watu wote wanapenda kutajirika na kuwa na maisha mazuri lakini siyo kazi rahisi kama anavyofikiria. Je,ukienda kulima kilimo cha matiki maji au maharage alafu mabadiliko ya hali ya hewa yakakuadhiri? Je,bank teller akienda kijijini kulima,huduma za kibenki mtazipatia wapi na nani atawahudumia na kuwatunzia hela zenu?
Je,unadhani kwamba bank teller ndo mwenye kipato kidogo kuliko wote? kwa nini asingewaambia wasaidizi wa ndani wapige kazi kwa miezi kadhaa kisha wakishapata hiyo laki tano warudi kijijini wakalime?
Ukweli ni kwamba wote tunategemeana na itabaki kuwa hivyo.
anawadharau bank tellers na wote wenye kipato cha chini paipo kujua kuwa hata matajiri wakubwa zaid yake pia wanamcheka yeye.
Hivi kwa nini wewe huelewi kilichoandikwa????? yaani umekosa kabisa maudhui ya story hii, kazi kwelikweli
 
View attachment 328372

Ukisoma iyo paragraph ya mwisho inajieleza kabisa kuwa masanja mkandamizaji katolewa ka mfano na mwandishi,,

guys mnasoma post kabla ya kuchangia au mnarukia tuh uzi na kuanza kuchangia?mbona mada inajieleza kabisa wakuu?
Tatizo la watiziii wanapenda kukurupuka hasa ukiwagonga kunako, masanjaa hapa anamaanisha wale ambao kutwa kuchwa wanazunguka na bahasha kutafuta Kazi zenye majina huku wakiwa hawatak kutoka ndani ya jiji so anawahimiza wakalime badala ya show off za town, kwisha kaz
 
Masikini akishapata lazima ... ilie mbwata. Hivi Masanja wakati unazunguka na bidhaa jijini ukiwa mmachinga hayo mashamba yalikuwa yamekwisha huko kwenu Ludewa. Leo hii unabeza kazi za wateja wako waliokuweka mjini kitambo.

Kila kazi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi na mzunguko wa life kiujumla, ni mpuuzi pekee awezaye kufikiri wote tunaweza kulima nyanya au auze maji na wote tuwe na maisha mazuri. Hao wanaolipwa laki 5 wote wakitoka ofisini wakauze maji au kulima vitunguu atanunua nani?

Kilimo kingekuwa simple kama unavyobwatuka unadhani nani angekuja mjini kufanya kazi ya laki 5 unayoibeza, mbona Masanja ulikuja ukakomaa hapa hadi ukatoka baada ya kuungua sana na jua. Ulishakuwa hadi HOUSEBOY wewe, leo hii teller wamuona kama hana akili au hana malengo na maisha haya.

Mmekaa tu mnaongelea kilimo kana kwamba ni rahisi saaana. Mngejua watu wanaozewa na mazao mashambani huku kwa kukosa masoko. True vipo vinavyolimwa vinalipa haraka lakini havistawi nchi nzima na kwingineko gharama za kuvilima si ndogo.

Masanja hukutoka kwa sababu una akili kuliko vijana wanaosota,huo ni mzunguko wa maisha tu na bahati iliyochagizwa na kipawa. Ulijituma ndio lakini haimaanishi wasiotoka hawajitumi. Chunga kauli zako bro.





]Masikini akishapata lazima ... ilie mbwata. Hivi Masanja wakati unazunguka na bidhaa jijini ukiwa mmachinga hayo mashamba yalikuwa yamekwisha huko kwenu Ludewa. Leo hii unabeza kazi za wateja wako waliokuweka mjini kitambo. (hapa nimekunukuu )


sasa kama hakuchukua hatua hakujituma angukuwa hapo alipo au?????? siunapoambiwa ama kusikia jambo lolote tafakari kidogo


mtumie akili zenu vizuri asee hapo umepata ushauri wa bure si kazi unaokota machupa ya plastick lakini unamkashfu mtu aliyetumia akili yake kuwapa watu 100 maqazo ya maana
 
Masikini akishapata lazima ... ilie mbwata. Hivi Masanja wakati unazunguka na bidhaa jijini ukiwa mmachinga hayo mashamba yalikuwa yamekwisha huko kwenu Ludewa. Leo hii unabeza kazi za wateja wako waliokuweka mjini kitambo.

Kila kazi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi na mzunguko wa life kiujumla, ni mpuuzi pekee awezaye kufikiri wote tunaweza kulima nyanya au auze maji na wote tuwe na maisha mazuri. Hao wanaolipwa laki 5 wote wakitoka ofisini wakauze maji au kulima vitunguu atanunua nani?

Kilimo kingekuwa simple kama unavyobwatuka unadhani nani angekuja mjini kufanya kazi ya laki 5 unayoibeza, mbona Masanja ulikuja ukakomaa hapa hadi ukatoka baada ya kuungua sana na jua. Ulishakuwa hadi HOUSEBOY wewe, leo hii teller wamuona kama hana akili au hana malengo na maisha haya.

Mmekaa tu mnaongelea kilimo kana kwamba ni rahisi saaana. Mngejua watu wanaozewa na mazao mashambani huku kwa kukosa masoko. True vipo vinavyolimwa vinalipa haraka lakini havistawi nchi nzima na kwingineko gharama za kuvilima si ndogo.

Masanja hukutoka kwa sababu una akili kuliko vijana wanaosota,huo ni mzunguko wa maisha tu na bahati iliyochagizwa na kipawa. Ulijituma ndio lakini haimaanishi wasiotoka hawajitumi. Chunga kauli zako bro.

Ni kweli tupu!
 
Back
Top Bottom