Laki tano tu unaweza badilisha historia

Laki tano tu unaweza badilisha historia

Wape dawa hao mkuu,yaan asilimia 90 ya walio changia hii mada wamebisha kuwa mtu hawez kufanikiwa ktk hizo shughuli zilizo mtoa masanja.asa nkajiuliza,nifanye kaz ipi ya kuniongezea kipato? na ambayo haina changamoto? Je,maisha ya watu jamii ya akina Masanja mm siwez kuyaish? kumbuka mshahara wang ni laki nne na nusu.Hakika hii nchi ina vijana wengi wenye mawazo mgando.na kwa hakika tutabaki tu kushuhudia mafanikio ya wenzetu,,yaan hata kumilik nyumba tu,kijana anasubiria astaafu kwanza ndipo ile pension ya uzeeni itumike kujengea
Kila mtu ana namna ya jinsi anavyoyatazama maisha....
Wakati sisi tunaona Dar es salaaam ni mji uliofurika wazururaji kuna mwingine anawatazama hao wazururaji kama chanzo chake cha mapato.....kuiona kwenye kundi la hao watu.....

Kamwe kufanikiwa kama hutabadili mtizamo kuhusu maisha....
 
Nimesoma na nimekuelewa sana kaka mkubwa, kuna Elimu kubwa uliotoa humo ndani ila mifano yako ya kubeza kazi za watu wengine ndio imetia kichefuchefu humo ndani. Pia umeongelea kilimo tu kama kulala na kuamka ila hujaeleza changamoto zilizopo huko. Sio siri inataka moyo sana na hata mtaji usiwe kama huo wako
 
Masikini akishapata lazima ... ilie mbwata. Hivi Masanja wakati unazunguka na bidhaa jijini ukiwa mmachinga hayo mashamba yalikuwa yamekwisha huko kwenu Ludewa. Leo hii unabeza kazi za wateja wako waliokuweka mjini kitambo.

Kila kazi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi na mzunguko wa life kiujumla, ni mpuuzi pekee awezaye kufikiri wote tunaweza kulima nyanya au auze maji na wote tuwe na maisha mazuri. Hao wanaolipwa laki 5 wote wakitoka ofisini wakauze maji au kulima vitunguu atanunua nani?

Kilimo kingekuwa simple kama unavyobwatuka unadhani nani angekuja mjini kufanya kazi ya laki 5 unayoibeza, mbona Masanja ulikuja ukakomaa hapa hadi ukatoka baada ya kuungua sana na jua. Ulishakuwa hadi HOUSEBOY wewe, leo hii teller wamuona kama hana akili au hana malengo na maisha haya.

Mmekaa tu mnaongelea kilimo kana kwamba ni rahisi saaana. Mngejua watu wanaozewa na mazao mashambani huku kwa kukosa masoko. True vipo vinavyolimwa vinalipa haraka lakini havistawi nchi nzima na kwingineko gharama za kuvilima si ndogo.

Masanja hukutoka kwa sababu una akili kuliko vijana wanaosota,huo ni mzunguko wa maisha tu na bahati iliyochagizwa na kipawa. Ulijituma ndio lakini haimaanishi wasiotoka hawajitumi. Chunga kauli zako bro.
Kweli mkuu!!!,Kauli ya Masanja inafanana na ya rafiki yangu mmoja aliyefanikiwa kimaisha ambaye alikuwa km ananishauri lkn ndani yake kuna kadharau fulani,mimi niliupotezea ushauri wake sababu uliambatana na dharau.
 
What Masaja said is true to some extent but it is not easy as he think. It need time to organise and program this projects. It is a challenge let's as take as a challenge.
 
Hata Ridhwan nae anasema baada ya kumaliza shule aliajiriwa kwenye Chamber ya sheria lakini akaamua kuacha na kujishughulisha na 'vibiashara cha hapa na pale' akafanikiwa kupata kijisehemu cha kujistiri pale Mikocheni,kishamba cha mihogo Msoga na kigari Mkweche.
Wakishafanikiwa wanaanza kuja na theory za Uongo. Aliyekuwa Waziri wa Maliasili Ezekiel Maige alinunua gorofa mbili kwa pamoja kwa hard cash alipolipuliwa na James Lembeli akajidai eti kapata pesa hizo kutokana na kibiashara chake cha fuso alichopata baada ya kununua kutokana na Fedha za mkopo wa Bungeni.
 
Anajileta mwenyewe kwenye taa. Amulikwe vizuri huyu kijana.
 
Masikini akishapata lazima ... ilie mbwata. Hivi Masanja wakati unazunguka na bidhaa jijini ukiwa mmachinga hayo mashamba yalikuwa yamekwisha huko kwenu Ludewa. Leo hii unabeza kazi za wateja wako waliokuweka mjini kitambo.

Kila kazi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi na mzunguko wa life kiujumla, ni mpuuzi pekee awezaye kufikiri wote tunaweza kulima nyanya au auze maji na wote tuwe na maisha mazuri. Hao wanaolipwa laki 5 wote wakitoka ofisini wakauze maji au kulima vitunguu atanunua nani?

Kilimo kingekuwa simple kama unavyobwatuka unadhani nani angekuja mjini kufanya kazi ya laki 5 unayoibeza, mbona Masanja ulikuja ukakomaa hapa hadi ukatoka baada ya kuungua sana na jua. Ulishakuwa hadi HOUSEBOY wewe, leo hii teller wamuona kama hana akili au hana malengo na maisha haya.

Mmekaa tu mnaongelea kilimo kana kwamba ni rahisi saaana. Mngejua watu wanaozewa na mazao mashambani huku kwa kukosa masoko. True vipo vinavyolimwa vinalipa haraka lakini havistawi nchi nzima na kwingineko gharama za kuvilima si ndogo.

Masanja hukutoka kwa sababu una akili kuliko vijana wanaosota,huo ni mzunguko wa maisha tu na bahati iliyochagizwa na kipawa. Ulijituma ndio lakini haimaanishi wasiotoka hawajitumi. Chunga kauli zako bro.
alafu anajiita mlokole zarau izi alizo sema na ni kujisifu kuona yeye ndo yeye haya ni maisha tu mkandamizaji embu rudisha fikira zako nyuma je uliwazaga kama ungefikia hapo ulipo
masanja maisha ni mzunguko tu aya. na tena kwanyie wasani fainali ipo karibu jina likisha sahaulika tu kidogo mia mia nyeusi mfukoni huna.
acha zarau kila mtuu ana umuhimu na kazi yake.
masikini akipata matako hulia mbwaaaaata?!
 
Masikini akishapata lazima ... ilie mbwata. Hivi Masanja wakati unazunguka na bidhaa jijini ukiwa mmachinga hayo mashamba yalikuwa yamekwisha huko kwenu Ludewa. Leo hii unabeza kazi za wateja wako waliokuweka mjini kitambo.

Kila kazi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi na mzunguko wa life kiujumla, ni mpuuzi pekee awezaye kufikiri wote tunaweza kulima nyanya au auze maji na wote tuwe na maisha mazuri. Hao wanaolipwa laki 5 wote wakitoka ofisini wakauze maji au kulima vitunguu atanunua nani?

Kilimo kingekuwa simple kama unavyobwatuka unadhani nani angekuja mjini kufanya kazi ya laki 5 unayoibeza, mbona Masanja ulikuja ukakomaa hapa hadi ukatoka baada ya kuungua sana na jua. Ulishakuwa hadi HOUSEBOY wewe, leo hii teller wamuona kama hana akili au hana malengo na maisha haya.

Mmekaa tu mnaongelea kilimo kana kwamba ni rahisi saaana. Mngejua watu wanaozewa na mazao mashambani huku kwa kukosa masoko. True vipo vinavyolimwa vinalipa haraka lakini havistawi nchi nzima na kwingineko gharama za kuvilima si ndogo.

Masanja hukutoka kwa sababu una akili kuliko vijana wanaosota,huo ni mzunguko wa maisha tu na bahati iliyochagizwa na kipawa. Ulijituma ndio lakini haimaanishi wasiotoka hawajitumi. Chunga kauli zako bro.
Definetly true!!!kuna watu wanajisahau sana maishani
 
WENGI HAMJAMUELEWA MASANJA ANACHOWAELEZA ANAMAANISHA KUWA NJE YA MSHAHARA UNAOPATA UNATAKIWA UJIONGEZE ILI KUONGEZA KIPATO CHAKO KWHYO USITEGEMEE MSHAHARA PEKEE
 
Hilo bandiko ni bikira wa kisukuma alieandika lakina naona kila mtu anamtupia lawama masanja....mtoa maada naona ana agenda yake na masanja
Kabisa. Anataka Watu wamchukie masanja bure wkt hahusiki
 
Nenda na laki tano yako uone kama hukurud mjini kwa miguu!!! Aache kudanganya watu. Kama ni kilimo cha biashara lazima uwe na mtaji wa kutosha baada ya kupiga hesabu za kuanzia kukodi shamba, kulipa wafanyakazi, pembejeo mpk kuvuna
huo ni usanii tu wa masanja, nani umemsikia hapa bongo anawapa wengine mchongo wa kupiga hela...mbona yeye hakuanzia huko mbalali kwenye kilimo, alikuja hapa Dar kufuata nini? hizo gari zake zote alizonunua kwa ajili ya kutembelea tu zinamwingizia shilingi ngapi kama si ulimbukeni tu
 
Zamani nilipokuwa mdogo nilikuwa naamini wale ma bank teller zile pesa huwa zao kumbe sivyo.,..Watu warudi vijijini sio mijitu inakaa mjini kwa kupiga mizinga watu...
 
Mnaambiwa ukweli mnatukana, mtakufa na umaskini kwa ubishi wa kukubali ushauri halafu mwisho wa siku mnaanza kutoa sababu kibao na chuki binafsi... Ooh mara muuza sembe tu yule sio bure!
 
watu wote wanapenda kutajirika na kuwa na maisha mazuri lakini siyo kazi rahisi kama anavyofikiria. Je,ukienda kulima kilimo cha matiki maji au maharage alafu mabadiliko ya hali ya hewa yakakuadhiri? Je,bank teller akienda kijijini kulima,huduma za kibenki mtazipatia wapi na nani atawahudumia na kuwatunzia hela zenu?
Je,unadhani kwamba bank teller ndo mwenye kipato kidogo kuliko wote? kwa nini asingewaambia wasaidizi wa ndani wapige kazi kwa miezi kadhaa kisha wakishapata hiyo laki tano warudi kijijini wakalime?
Ukweli ni kwamba wote tunategemeana na itabaki kuwa hivyo.
anawadharau bank tellers na wote wenye kipato cha chini paipo kujua kuwa hata matajiri wakubwa zaid yake pia wanamcheka yeye.

Ukweli mkuu..

Mtu yoyote ambaye amepata pesa yake kwa hatua anautambuzi wa hali ya juu saaana.....

Ni mambo mengi mtu anayapitia moja kuu ikiwa ni failures any attempt must get to an error so that you can get a vision, na wajua tena bila vision hakuna mission,

Masanja ameongea fantasies na ndiyo maana kuna mdau mmoja hapa amesema

"unga ukiwatoa wanaleta dharau"

My take Massanja ana capital mimi nina 2M...

Siamini kama Massanja alipiga investment mara moja akatoka no way....

Kwakuwa ana capital alirudia tena, persisted, ofcourse because he ahs cash now mie mwenye litle capital?

Nikiingia kwanza sina on going concerns...

I thought angeshauri approach siyo figure by itself..

Mie ina mawazo brilliantly lakini I can't implement sababu sina enough capital...

But yet naangalia jinsi ya kupata capital then nitakuja ku implement my ideas haijarishi soko lime saturate vipi....

So nilitegemea atoe lessons za kilichomo ndani ya kiatu chake akiwa anafanya approach yake hadi akapata X6 otherwise he makes us think aloud..

By the way he owns X6, what year of manufacturing hiyo gari?

Kama kilimo kweli ni msingi wake kwanini haja expand? ?

Kuna mtu anaeza kuona channel ya pesa akaishia njiani kisa kapata 20Billion?

Otherwise story yake inaendelea hapo si mwisho wake then my comments will not valid..
If and only if he this is summerized version of his story!

No offenses

Nawakilisha!
 
huyo masanja asitake kuongopea watu,,km kilimo kingekuwa kinalipa basi wakulima wangekua matajiri hapa nchini

na mm siamimi kbs eti masanja hilo jumba na hiyo x6 ni hela ya kilimo,,never!! kuna something behind

watu tushaingia na millions huko kwnye kilimo na tukapigwa za uso af ye anajiongelesha tu hapa
 
Back
Top Bottom