Unadhani wanapenda kuzunguka na bahasha tu!? Hudhani kuwa hizo kazi wanazotafuta ndio zitawapa mitaji ya kufanya shughuli zao binafsi!? Unadhani pia kila mtu kazaliwa mashambani!? Mathalani mtu aliyezaliwa na kukulia Dsm anatokaje tu kwenda mikoani kuanzisha miradi ya kilimo bila mpangilio!? Ni rahisi kusema kuliko kutenda.Tatizo la watiziii wanapenda kukurupuka hasa ukiwagonga kunako, masanjaa hapa anamaanisha wale ambao kutwa kuchwa wanazunguka na bahasha kutafuta Kazi zenye majina huku wakiwa hawatak kutoka ndani ya jiji so anawahimiza wakalime badala ya show off za town, kwisha kaz
Mimi nina swali mkuu, mimi ambaye mshahara wangu ni kidogo zaidi ya hao ma bank teller mnaowadharau nifanyeje?Afadhali yako mkuu ...hata hawa mateller unawazidi mkwanja...
Hilo lina ukwel ila ukiwa na enterprenuer mentality+shule inakua poa sanaBahati mbaya sana, ukisoma unajifanya mzuri kufanya risk analysis. Opportunities zote waziogopa. Wasiosoma hawana sana hayo, ndio maana wanafanikiwa zaidi.
sumbua kichwa japo kidogo acha kuonyesha upumbavu wako hapa, bank tellers wametumika hapo kama mfano flani hivi na sio kwamba kawadharau!!!!na kusema laki tano sio kwamba uchukue mshahara wa mwezi mmoja na kusepa bush kwenda kulima BUT ni kuonyesha kwamba unaweza kuwa unafanya kazi katika taasisi yoyote ile iwe ya umma au binafsi na kile unachopata unawekeza kwenye project nyingine ambayo itakuingizia kipato cha ziada...na sio lazima iwe kilimo!!!!Jifunzeni kufikiri nje ya boksi, kuweni na plan B katika maisha inkesi chochote kikitokea kwa plan A yako uwe na pakujishiza japo kwa muda wakati unaangalia unatokaje.Kati ya wafanyakazi ambao wanachukiwa au kuonewa wivu ni bankers. Na sababu kubwa ni kwamba watu wanawapa heshima na kuwaona wana pesa sana sasa mtu anayejua kipato chao hilo huwa linamuuma sana. Maelezo yote aliyoyatoa kwa Laki tano hayatekelezeki, ila walau kafanikiwa kuwadiss bank tellers.
Kama unabisha tafuta laki tano halafu hamia shamba
Safi saana mkuu.Mbona mnapenda saana kupinga jaman,ww unajua huyo kawekeza ndani ya miaka mitatu ndo kafika hapo? kwa ufahamu wangu,si chini ya miaka kumi,which means chukua umri wake alionao saiv,toa miaka kumi.utapata kujua jamaa alianza hizo shughuli akiwa na umri gan,, changanueni bongo zenu vijana,hakuna linaloshindikana ukiwa na malengo thabiti
Hahah,si ndio hapo.mwenzako mkulima mkubwa sana wa mpunga we endelea kusema unga tuu kila anayefanikiwa..
Unadhani wanapenda kuzunguka na bahasha tu!? Hudhani kuwa hizo kazi wanazotafuta ndio zitawapa mitaji ya kufanya shughuli zao binafsi!? Unadhani pia kila mtu kazaliwa mashambani!? Mathalani mtu aliyezaliwa na kukulia Dsm anatokaje tu kwenda mikoani kuanzisha miradi ya kilimo bila mpangilio!? Ni rahisi kusema kuliko kutenda.
Ok Masanja upo ukweli ktk matumizi ya vijana wengi wa ki tz lakini pia lipo giza nene ktk utajiri wa vijana wengi wa ki tz. in shot mimi naona ni bora ungepost kimya kimya pasipo kuonyesha manjonjo yote hayo, maana ukweli upo wazi yale yanayo endelea ktk nyuma ya pazia na utajiri wa vijana wengi ni kiza kinene. watu wanfanya shughuli za kiza lakini kwa mbele wanajifanya ni wachungaji, waimbaji, mashejh, na hata wakulima wakubwa lakini sii kweli wanaudanganya uma nakuzidi kufanya vijana wengi kuwa majizi ktk ofisi za serikali wakidhania wanaweza kutoka wakati kumbe wanao waona wana pesa wamejaa dam kt utajiri wao. In shot Masanja hujatuonyesha njia ila umezidi kuleta maswali mengi hasa kwa watu ambao tunajuwa haya yanayo endelea ktk taifa hili. Niukweli usio pingika wapo viongozi, wasanii, wachungaji, na wachezaji wanao litumbua hili taifa kwa aina ya kipekee kiasi mtu ukiambiwa kazi za watu hao unaweza hata kusema Mungu hayupo ila mimi nina amini ni swala la wakati hakuna kitu kitakacho kuwa siri tuna tegemea kuona mabadiliko makubwa ktk kila secta na kila mtu atamuheshim Mwenzake. Kwangu sijali kijana mwenzangu anamiliki nini ila ninacho jail umekipataje in very shot period? hivi masanja amemzidi Mzee majuto, Au ........ EMBU TUJIONGEZE TUMUOGOPE MUNGU.Masikini akishapata lazima ... ilie mbwata. Hivi Masanja wakati unazunguka na bidhaa jijini ukiwa mmachinga hayo mashamba yalikuwa yamekwisha huko kwenu Ludewa. Leo hii unabeza kazi za wateja wako waliokuweka mjini kitambo.
Kila kazi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi na mzunguko wa life kiujumla, ni mpuuzi pekee awezaye kufikiri wote tunaweza kulima nyanya au auze maji na wote tuwe na maisha mazuri. Hao wanaolipwa laki 5 wote wakitoka ofisini wakauze maji au kulima vitunguu atanunua nani?
Kilimo kingekuwa simple kama unavyobwatuka unadhani nani angekuja mjini kufanya kazi ya laki 5 unayoibeza, mbona Masanja ulikuja ukakomaa hapa hadi ukatoka baada ya kuungua sana na jua. Ulishakuwa hadi HOUSEBOY wewe, leo hii teller wamuona kama hana akili au hana malengo na maisha haya.
Mmekaa tu mnaongelea kilimo kana kwamba ni rahisi saaana. Mngejua watu wanaozewa na mazao mashambani huku kwa kukosa masoko. True vipo vinavyolimwa vinalipa haraka lakini havistawi nchi nzima na kwingineko gharama za kuvilima si ndogo.
Masanja hukutoka kwa sababu una akili kuliko vijana wanaosota,huo ni mzunguko wa maisha tu na bahati iliyochagizwa na kipawa. Ulijituma ndio lakini haimaanishi wasiotoka hawajitumi. Chunga kauli zako bro.