Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,825
- 24,180
Kwema gentleman asaise nashukuru gentleman,
kwema huko 🐒
Hujambo gentlemanndugu mdau,
pamoja na kua mimi ni mwanasiasa muandamizi na mbobevu kwenye masuala ya kitaifa na kimataifa, lakini pia ni mtumishi mchapakazi wa wananchi, mkulima, mfugaji, muhadhiri, mfanyabiashara, lakini pia ni Apostle miongoni mwa mitume na manabii humu nchini.
So,
ninapochangia hoja ninachangia nikiwa na focus katika maeneo hayo kulingana na mantiki ya hoja yenyewe.
mnivumilie tafadhali kama nachomeka sana 🐒