Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Vizuri. Hakika focus na watu makini. Hilo swali lako ni zuri sana,kwanini ,kwa sababu maisha ni kama Game na kila mtu anacheza hili game.Kanuni ya hili Game ni kwamba hata ukishinda unakufa. Hakuna atayebaki kuwa hai ndani ya hili game.

Mfano unaweza kupambana ndoto zako,labda uwa tajiri au Raisi ,ukashinda na kufikia ndoto hizo.Lakini utakufa .
Exactly
Kwa hiyo kikubwa si kushinda Bali ni kufurahia hili Game. Kwa hiyo swali lako kuhusu ladha ya maisha hakika Lina maana sana.
🙌❤️❤️❤️

Thank you brother 🥰
 
Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Watu husema bila afya, maisha hayana ladha

Wengine husema bila pesa, maisha hayana ladha

Kuna wanaokunywa pombe wakiamini ndiyo njia ya kuonja ladha ya maisha na kujisitiri na mawazo ya kila siku

Wengine huona raha na ladha ya maisha kupitia mapenzi na ngono, wakiamini humo ndimo kuna furaha kamili

Lakini je, umewahi kufika mahali ukaona maisha hayana ladha kabisa?

Radha ya maisha ni nini hasa?

Utajuaje kwamba hiki unachokipitia sasa ndiyo ladha halisi ya maisha?
Je, kuwa na familia, mke, mume, mpenzi, watoto, marafiki au hata mchepuko kumeongeza ladha ya maisha yako, au kumeifanya ipotee?
Karibu tushirikishane mawazo na uzoefu wetu

It's Furahi Day! 😄
ShesRise_1
🖐
ndugu mdau wa heshma sana jf,
Ladha ya maisha ni maisha yenyewe. Ni muhimu sana kumshukuru Mungu kwa zawadi hii muafaka, ya kipekee na ya bure kabisa katika ulimwengu huu kwa kila mja wa Allah.

Baada ya sote kuumbwa, nakukarimiwa akili na utashi wa kuchagua,
tunalo chaguo la hiyari, yaani ama kua na maisha ya furaha, huzuni au karaha, amani, misukosuko, utulivu ama vinginevyo, hiyo ni uchaguzi wa mtu binafsi tu kadiri anavyoona inafaa.

na ndio maana,
wataalamu wa masuala ya kijamii, kisiasa na kiuchumi tunasema,
KUA TAJIRI AU MASKINI TANZANIA NI UAMUZI BINAFSI WA MTU MWENYEWE.

na wale wengine wakesema raha jipe mwenyewe.

So,
ladha ya maisha ipo kwenye uchaguzi wako binafsi kadiri ya Neema na Baraka za Mungu au vinginevyo 🐒
 
ndugu mdau wa heshma sana jf,
Ladha ya maisha ni maisha yenyewe. Ni muhimu sana kumshukuru Mungu kwa zawadi hii muafaka, ya kipekee na ya bure kabisa katika ulimwengu huu kwa kila mja wa Allah.

Baada ya sote kuumbwa,
tunalo chaguo la hiyari, yaani ama kua na maisha ya furaha, huzuni au karaha, amani, misukosuko, utulivu ama vinginevyo, hiyo ni uchaguzi wa mtu binafsi tu kadiri anavyoona inafaa.

na ndio maana,
wataalamu wa masuala ya kijamii, kisiasa na kiuchumi tunasema,
KUA TAJIRI AU MASKINI TANZANIA NI UAMUZI BINAFSI WA MTU MWENYEWE.

na wale wengine wakesema raha jipe mwenyewe.

So,
ladha ya maisha ipo kwenye uchaguzi wako binafsi kadiri ya Neema na Baraka za Mungu au vinginevyo 🐒
Hujambo mwana ccm ?
 
ndugu mdau wa heshma sana jf,
🥰
Ladha ya maisha ni maisha yenyewe. Ni muhimu sana kumshukuru Mungu kwa zawadi hii muafaka, ya kipekee na ya bure kabisa katika ulimwengu huu kwa kila mja wa Allah
Amen Amen
hapa umekuja kama shemasi
Baada ya sote kuumbwa,
tunalo chaguo la hiyari, yaani ama kua na maisha ya furaha, huzuni au karaha, amani, misukosuko, utulivu ama vinginevyo, hiyo ni uchaguzi wa mtu binafsi tu kadiri anavyoona inafaa.
kwahiyo wale wanaopitia taabu na dhiki mbali mbali ni hiyari yao
ongezea nyama hapa
na ndio maana,
wataalamu wa masuala ya kijamii, kisiasa na kiuchumi tunasema,
KUA TAJIRI AU MASKINI TANZANIA NI UAMUZI BINAFSI WA MTU MWENYEWE.
Umeanza siasa sasa kama kawaida yako
na wale wengine wakesema raha jipe mwenyewe.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 huhuhuhuuui
So,
ladha ya maisha ipo kwenye uchaguzi wako binafsi kadiri ya Neema na Baraka za Mungu au vinginevyo 🐒
Sawaa🐒
 
🥰

Amen Amen
hapa umekuja kama shemasi

kwahiyo wale wanaopitia taabu na dhiki mbali mbali ni hiyari yao
ongezea nyama hapa

Umeanza siasa sasa kama kawaida yako

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 huhuhuhuuui

Sawaa🐒
ndugu mdau,
pamoja na kua mimi ni mwanasiasa muandamizi na mbobevu kwenye masuala ya kitaifa na kimataifa, lakini pia ni mtumishi mchapakazi wa wananchi, mkulima, mfugaji, muhadhiri, mfanyabiashara, lakini pia ni Apostle miongoni mwa mitume na manabii humu nchini.

So,
ninapochangia hoja ninachangia nikiwa na focus katika maeneo hayo kulingana na mantiki ya hoja yenyewe.

mnivumilie tafadhali kama nachomeka sana 🐒
 
Nilijua 😅😅 tu lazima ujipakulie minyama 🤣🤣🤣
Haya Apostle
So,
ninapochangia hoja ninachangia nikiwa na focus katika maeneo hayo kulingana na mantiki ya hoja yenyewe.
Sawa sawa mdau 👊
mnivumilie tafadhali kama nachomeka sana 🐒
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom