ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,748
- 42,226
- Thread starter
- #41
Yes 👊Mkuu umewaza sana, bila shaka ushapitia yote yanayofikirika na kuona kwamba ni ubatili mtupu. Ukifikia hii level of reasoning utaelewa na kuchukulia kawaida kwa kila unaloshuhudia.