Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Unakosea unasema majungu? Hili jukwaa ni darasa huru.
Ukizungumza jambo mara moja kwa nia ya ku elimisha unaeleweka ila kulishikia bango ni kama majungu

Nyongeza : sio kila mtu humu tangu azaliwe na kujifunza kuongea alikua anazungumza kiswahili🙏🙏🙏
 
Nimeongea mara moja tu. Baada ya hapo mimi najibu tu watu walioninukuu kama nilivyokujibu wewe. Hutaki nijibu?
 
Dah 😅 haya jibu kwanini usijibu sasa 🫴
 
Back
Top Bottom