Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Mmmh what a thoughtful post.
Ladha ya maisha,...

Unamaanisha raha, tu pekee au intimacy ya maisha? Maana hata Maumivu pia ni chanzo cha intimacy.. Imagine mtu Ana ingia gym anapata Maumivu la yanampa furaha akipata dream body.

OK tuje kwenye mada, kwa upande wangu Radha ya maisha ni pale ninavyo ishi kusudi langu, ninavyo badilisha maisha ya mtu mwingine, au kuwa chanzo cha mabadiliko.

Huwa pia napata ladha ya maisha ni napo toa upendo na kupewa upendo. Ni napenda hasa na Nahisi upendo hasa mtu akinipenda. What are we here for if not for love and by love.?

Mwisho kabisa ladha ya maisha sio mda wa raha tu, maisha halisi ni muunganiko wa raha na karaha
Ok ok 👍
 
Ladha ya maisha inaletwa na mambo mengi ila Afya ni jambo la muhimu sana. Yaani hata uwe na pesa kiasi gani, mwenza mzuri au watoto wazuri aje, kama hauna afya ni changamoto sana kuyafurahia maisha.
Yaani ili uenjoy maisha Afya iwepo kwanza
 
Ladha ya maisha inaletwa na mambo mengi ila Afya ni jambo la muhimu sana. Yaani hata uwe na pesa kiasi gani, mwenza mzuri au watoto wazuri aje, kama hauna afya ni changamoto sana kuyafurahia maisha.
Yaani ili uenjoy maisha Afya iwepo kwanza
Afya 🥰🥰
 
Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Watu husema bila afya, maisha hayana ladha

Wengine husema bila pesa, maisha hayana ladha

Kuna wanaokunywa pombe wakiamini ndiyo njia ya kuonja ladha ya maisha na kujisitiri na mawazo ya kila siku

Wengine huona raha na ladha ya maisha kupitia mapenzi na ngono, wakiamini humo ndimo kuna furaha kamili

Lakini je, umewahi kufika mahali ukaona maisha hayana ladha kabisa?

Radha ya maisha ni nini hasa?

Utajuaje kwamba hiki unachokipitia sasa ndiyo ladha halisi ya maisha?
Je, kuwa na familia, mke, mume, mpenzi, watoto, marafiki au hata mchepuko kumeongeza ladha ya maisha yako, au kumeifanya ipotee?
Karibu tushirikishane mawazo na uzoefu wetu

It's Furahi Day! 😄
ShesRise_1
🖐
Challenges

Ndo ladha ya maisha zike hekaheka utakazo kuwa nazo wakati wa changamoto ndo uta test ladha ya maisha
 
Back
Top Bottom