Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Watu husema bila afya, maisha hayana ladha

Wengine husema bila pesa, maisha hayana ladha

Kuna wanaokunywa pombe wakiamini ndiyo njia ya kuonja ladha ya maisha na kujisitiri na mawazo ya kila siku

Wengine huona raha na ladha ya maisha kupitia mapenzi na ngono, wakiamini humo ndimo kuna furaha kamili

Lakini je, umewahi kufika mahali ukaona maisha hayana ladha kabisa?

Ladha ya maisha ni nini hasa?

Utajuaje kwamba hiki unachokipitia sasa ndiyo ladha halisi ya maisha?

Je, kuwa na familia, mke, mume, mpenzi, watoto, marafiki au hata mchepuko kumeongeza ladha ya maisha yako, au kumeifanya ipotee?

Karibu tushirikishane mawazo na uzoefu wetu

It's Furahi Day! 😄
ShesRise_1
🖐
Mimi nadhan pesa ndio inaleta furaha zote hizo kama utazitumia ki usahihi
 
Nawaza sana inawezekanaje mtu anaonekana kabisa kichwa kina ubongo kutimiza kusudi la uumbaji halafu wanamuacha ashike madaraka makubwa kiasi kile,au walimuweka ili wao wafaidi kwa sababu ya uzumbe wake?
Mtu wa aina ile hua hawezi kuhoji mafisadi hana huo uwezo kwa hiyo yeye kua no one ni faida kede kede kwa mafisadi na wachumia tumbo
 
Back
Top Bottom