Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Ladha ya maisha haina tafsiri moja kwa kila mtu. Kile kinachompa mtu mmoja furaha kinaweza kisiwe na maana kwa mwingine. Afya, pesa, mapenzi, familia au marafiki ni vipande vya maisha, lakini si lazima kila kimoja kiwe chanzo cha ladha kwa kila mtu.
Ndiyo maana mleta Uzi ameuliza,wewe kama wewe ladha ya maisha unaipata kwenye nini?
 
Ladha maana yake ni ama iwe mbaya au nzuri zote ni Ladha aka “radha”

Labda ungeuliza ladha nzuri ya maisha ni ipi?

Ladha nzuri ya maisha inategemea na mambo mengi sana ikiwemo malezi na makuzi yako, mtazamo wa jamii na personal preferences

Kuna watu raha zao ni kujiumiza miili, kushinda njaa, kula vitu vyenye radha mbaya kabisa nk nk

Lakini ladha nzuri kabisa ya maisha ni kuwa free financially stable with good health.
 
Shukrani mkuu
 
Wee unajifunza upigaji et 🤣🤣
Utajiri nataka ila sio wa kuku je kuku akidonoa punje 1
Ndo maana huduma imerahishwa kwa online. Maana unaepuka muda wa safari unaanza kula bata mapema. Kabla ya miezi 12 kutumia. Kama unamagonjwa makubwa kuku hali mbegu hata moja anapiga chafya kwa dharau anarudi bandani.
 
🤣🤣 hakuna hiyo
 
Kitenge cha binti wa zamani hiki 😹😹
IMG_7186.jpeg
 
Back
Top Bottom