Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,957
- 86,884
Mimi niko zangu bar nacheza umlando huyo mzee kila ikifika ijumaa anasingizia sabato imeingia!
Mimi niko zangu bar nacheza umlando huyo mzee kila ikifika ijumaa anasingizia sabato imeingia!
🤣🤣🤣🤣 aaah! Naonewa mimi🙆♂️Wewe unamuoneaga yule babu bhna😅😅
So utamu wa maisha upo kwenye afya nzuriUkiumwa, KILA KITU katika hii dunia kinapoteza thamani....waliowahi kuumwa magonjwa makubwa au kuwa katika hali ya hatari wananielewa.
Narudia tena KILA KITU KINAPOTEZA THAMANI
Aaah kuna namna hapa si bure🙆♂️Mimi niko zangu bar nacheza umlando huyo mzee kila ikifika ijumaa anasingizia sabato imeingia!
Watu wa JF ndivyo walivyo hakuna kitu nimeandika mpka mtu akashindwa kuelewa kabisaSwali lako Lina maana sana lakini majibu Sasa ,Ni kama Kuna mashindano ya kuchekeshana. Kumbukeni kuwa serious.
YesLadha ya maisha ni kuwa na afya njema,
Yesfuraha,uhuru na kusudi.
🔥🔥😍Unaweza pia ku add burudani safi.
Kuna maisha nje ya pesaNi tafakuri ila pesa ndo raha yenyewe.
Hiyo ipo wazi kabisaSo utamu wa maisha upo kwenye afya nzuri
Hapo hapo kuna majamaa wanenda kwa waganga kumpa jogoo punje za mahindi wagawane miaka na umasikini. So ukisema ladha ya maisha ni uzima wakati mtu jogoo kala punje 10. Sijui inakuwaje. Nafkiri hili la afya kuwa ladha ya maisha si la wote.AFYA NI MTAJI NO 1.
KUNA KIPINDI NILIKUWA NA MAMILIONI LAKINI SINA AFYA DAHHHHH!!!!!!
Vizuri. Hakika focus na watu makini. Hilo swali lako ni zuri sana,kwanini ,kwa sababu maisha ni kama Game na kila mtu anacheza hili game.Kanuni ya hili Game ni kwamba hata ukishinda unakufa. Hakuna atayebaki kuwa hai ndani ya hili game.Watu wa JF ndivyo walivyo hakuna kitu nimeandika mpka mtu akashindwa kuelewa kabisa
Mimi nachulia watu wa sample hiyo kama watu wasio na hoja
Na hainisumbui kabisa
Hatarilamo ana majibu heavy cc ShesRise_1
Huu utajiri wa kuku hivi hua kweli🤔Hapo hapo kuna majamaa wanenda kwa waganga kumpa jogoo punje za mahindi wagawane miaka na umasikini. So ukisema ladha ya maisha ni uzima wakati mtu jogoo kala punje 10. Sijui inakuwaje. Nafkiri hili la afya kuwa ladha ya maisha si la wote.