Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Watu husema bila afya, maisha hayana ladha

Wengine husema bila pesa, maisha hayana ladha

Kuna wanaokunywa pombe wakiamini ndiyo njia ya kuonja ladha ya maisha na kujisitiri na mawazo ya kila siku

Wengine huona raha na ladha ya maisha kupitia mapenzi na ngono, wakiamini humo ndimo kuna furaha kamili

Lakini je, umewahi kufika mahali ukaona maisha hayana ladha kabisa?

Radha ya maisha ni nini hasa?

Utajuaje kwamba hiki unachokipitia sasa ndiyo ladha halisi ya maisha?
Je, kuwa na familia, mke, mume, mpenzi, watoto, marafiki au hata mchepuko kumeongeza ladha ya maisha yako, au kumeifanya ipotee?
Karibu tushirikishane mawazo na uzoefu wetu

It's Furahi Day! 😄
ShesRise_1
🖐
Pesa ndo msingi wa kila kitu
 
Ungeuliza tu hobbies za watu ni zipi. Binadamu wote wanahitaji afya njema, pesa na mapenzi kama mahitaji ya msingi. Mengine kama pombe, sigara na dini ni mambo madogo madogo tu ya ziada, ila kuna hobbies na passions zinazowafanya watu kuhisi thamani ya ziada ya maisha.
 
Wenzio washasema inatosha jikite kwenye mada basi🙌
hadi ufahamu tofauti ya 𝐋 na 𝐑 katika neno na namna zinavyoathiri maana ya neno. Nahisi siku nyingine utachunguza kwanza kabla ya kuwasilisha.
Ili nikuache tofautisha kati ya maneno haya; 𝐤𝐮𝐥𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐫𝐚.....
 
Back
Top Bottom