La umeme Watanzania ni waelewa, wavumilivu na linavumilika. Assuarance hii from "The Horse's Mouth" ni toshelevu. Lakini la maji linavumilika?

Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makalazangu za " Kwa Maslahi ya Taifa". Hali ya Umeme nchini kwa sasa inapitia changamoto ya upungufu wa kima cha maji kwenye uzalishaji wa umeme, hili kinaeleweka na linavumikika, ufafanuzi huu wa Waziri Husika from the horses mouth

ni toshelevu na ùmeeleweka.

Ila hili la mgao wa maji!, kiukweli kabisa kwenye baadhi ya maeneo, ni zaidi ya mgao!. Mgao gani leo ni 10 days bila tone la maji!. Hili la ukosefu wa maji jee tatizo hili linaeleweka kuwa limesababishwa na ukosefu wa mvua?, jee linavumilika?. Maji ni uhai!, mtu unaweza kuishi bila umeme, wengi wetu tumezaliwa vijijini hakuna umeme, tumeishi, lakini maji ni uhai, huwezi kuishi bila maji!. Jee tunaweza kuishi bila maji?, huu ukosefu wa maji unavumilika?. Tufanyaje?.
Paskali
10 days kaka, sisi tulikaa 2 month bila maji, baada ya malalamiko mazito tukaachiwa maji kama siku tano then yamepotea tena zaidi ya mwezi sasa! Ni disaster!
 
Mtaani kwetu kuna line 2, ya DAWASA na Mchina..

Hii ya Mchina huwa inatokatoka maji angalau...

Ila ile ya DAWASA haijawahi kutoka maji toka mgao uanze, na hata kabla ya mgao haujatangazwa hiyo line huwa inatoka maji mara 2 tuu kwa wiki.

Na hata kabla hawajatangaza mgao hiyo line ilikuwa haijatoa maji toka wiki 2 nyuma.
 
Mi natazama tofauti Sana!

Juma aweso ni mtu MAKINI Sana na mchapakazi mno!!

Mbona kasinyaa!?

Sio yule wa mwanzoni wakati wa jpm na wakati mama anashika hatamu,kanywea Sana!!

Au ULE uzi humu JUKWAANI wa yeye kuandaliwa kuwa NAMBA moja ume signal ministry attack kuwa below performance asije ku outshine mpendwa anaetakiwa kukalia kiti hicho!?

Uzi ULE chapuo lilikuwa KWA Ulega na Aweso,labda ndio limemtafuna na umachachari ukanywea!?

Mawazo huru haya
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makalazangu za " Kwa Maslahi ya Taifa". Hali ya Umeme nchini kwa sasa inapitia changamoto ya upungufu wa kima cha maji kwenye uzalishaji wa umeme, hili kinaeleweka na linavumikika, ufafanuzi huu wa Waziri Husika from the horses mouth

ni toshelevu na ùmeeleweka.

Ila hili la mgao wa maji!, kiukweli kabisa kwenye baadhi ya maeneo, ni zaidi ya mgao!. Mgao gani leo ni 10 days bila tone la maji!. Hili la ukosefu wa maji jee tatizo hili linaeleweka kuwa limesababishwa na ukosefu wa mvua?, jee linavumilika?. Maji ni uhai!, mtu unaweza kuishi bila umeme, wengi wetu tumezaliwa vijijini hakuna umeme, tumeishi, lakini maji ni uhai, huwezi kuishi bila maji!. Jee tunaweza kuishi bila maji?, huu ukosefu wa maji unavumilika?. Tufanyaje?.
Paskali

Mkuu Dr P
1. Ukosefu wa maji hauvumiliki kamwe
2. Ukosefu wa nishati ya umeme ambao vyanzo vya kuwezesha vipo lakini vikihujumiwa kwa maslahi ya watu binafsi wenye fedha hauvumiliki milimani, nyikani na majini
3. Kuruhusu vyakula kupelekwa nje ya nchi kuuzwa na wafanyabiashara wakubwa wakati nchi na wananchi wake hawana hifadhi toshelevu ya chakula huku yakitolewa majibu ya kebehi, fedhuli na ubabe kwa wanaohoji halivumiliki angani, ardhini na majini
4. Kuweka tozo juu ya tozo kwenye huduma wanazohitaji wananchi kila siku ni ukiukwaji wa haki za binadamu na ni uharifu uliokithiri kwa hivyo halivumiliki kwenye akili, akiba, na matumizi kwa maendeleo au anasa
 
Inawezekana pasco kwa 100% shughuli zake hazitegemei umeme, lakini ajue kuna watu wakikosa umeme hata watoto hawawezi kula, pia hata kumudu kununua galoni la maji la buku hawatoweza.

Kuna wadada na wakaka wa saluni wanaishi kwa kutegemea umeme, kuna mafundi cherehani wapo wanatumia umeme, kuna watu wa welding na aluminium wanategemea umeme, kuna wachajisha simu, waonyesha mipira na waosha magari.

Hii ni sekta isiyo binafsi ila imeajiri watu wengi mno. Na wengi wao ndio waathirika wa kadhia ya umeme.

Hawa watakuambia kwao umeme ni bora kuliko maji maana kupitia umeme watafanya kazi zao hivyo wataweza kumudu kununua hata dumu la 500 au 1000 na kuwanunulia watoto wao chakula, ila hawawezi kumudu kununua jenereta na kujaza mafuta kila siku.
 
Ndugu mayala kwako Nchi kuwa gizani, jambo hili kwako linavumilika!!!!

Athari za kiuchumi za vijana waliojiajiri sekta binafsi wategemeao umeme linavumilika!!!!!

Viwanda kukaa idle bila KAZI bila kuzalisha kwako linavumilika!!!!!

Kwamba unawafundisha WASOMI wa Nchi hii tena ktk jukwaa kama hili kuvumilia matatizo ambayo kimsingi chanzo chake ni HUJUMA???
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makalazangu za " Kwa Maslahi ya Taifa". Hali ya Umeme nchini kwa sasa inapitia changamoto ya upungufu wa kima cha maji kwenye uzalishaji wa umeme, hili kinaeleweka na linavumikika, ufafanuzi huu wa Waziri Husika from the horses mouth

ni toshelevu na ùmeeleweka.

Ila hili la mgao wa maji!, kiukweli kabisa kwenye baadhi ya maeneo, ni zaidi ya mgao!. Mgao gani leo ni 10 days bila tone la maji!. Hili la ukosefu wa maji jee tatizo hili linaeleweka kuwa limesababishwa na ukosefu wa mvua?, jee linavumilika?. Maji ni uhai!, mtu unaweza kuishi bila umeme, wengi wetu tumezaliwa vijijini hakuna umeme, tumeishi, lakini maji ni uhai, huwezi kuishi bila maji!. Jee tunaweza kuishi bila maji?, huu ukosefu wa maji unavumilika?. Tufanyaje?.
Paskali

Umekulia bush nini mpaka useme tatizo la umeme linavumilika? CCM uwezo mdogo sio kwenye umeme au maji. Jambo pekee wanaloliweza kwa ufasaha ni wizi wa kura.
 
Initiatives za kuleta mitambo ya uchimbaji visima na mabwawa walau inaeleweka, maeneo mengi yachimbwe visima watu wapate huduma nzuri ya maji
 
Attachments

  • IMG-20221115-WA0000.jpg
    IMG-20221115-WA0000.jpg
    96.3 KB · Views: 2
Hakuna kitu kina kera kama watu kutotimiza wajibu wao halafu wengine wanumia.

Viongozi wengi wa serikali hawapati hii kadhia ya uhaba wa maji.

Wiki ya pili hata hakuna upepo kwenye bomba la maji!!!!!!!!!!
 
Dawa ni kuondoa monopoly tu waje wageni watakaoweza kujenga vyanzo vya kuhifadhi maji nyakati za mvua au kuwekeza kwenye maji ya bahari na kusambaza nchi nzima. Hizo mbuzi za Dawasa na zitaajiriwa humo kwnye kampuni za wageni. Nchi hii hakuna tunaloweza sisi kama sisi.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makalazangu za " Kwa Maslahi ya Taifa". Hali ya Umeme nchini kwa sasa inapitia changamoto ya upungufu wa kima cha maji kwenye uzalishaji wa umeme, hili kinaeleweka na linavumikika, ufafanuzi huu wa Waziri Husika from the horses mouth

ni toshelevu na ùmeeleweka.

Ila hili la mgao wa maji!, kiukweli kabisa kwenye baadhi ya maeneo, ni zaidi ya mgao!. Mgao gani leo ni 10 days bila tone la maji!. Hili la ukosefu wa maji jee tatizo hili linaeleweka kuwa limesababishwa na ukosefu wa mvua?, jee linavumilika?. Maji ni uhai!, mtu unaweza kuishi bila umeme, wengi wetu tumezaliwa vijijini hakuna umeme, tumeishi, lakini maji ni uhai, huwezi kuishi bila maji!. Jee tunaweza kuishi bila maji?, huu ukosefu wa maji unavumilika?. Tufanyaje?.
Paskali

ni aibu kubwa sana alafu itafika siku itakuwa ni mwendo wa risasi 2 kwa kiongozi mwenye majibu ya uongo na ukizingatia wengi wa tanzania vijana tumepitia jkt na tuna mafunzo kama waliyonayo wanaowalinda
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makalazangu za " Kwa Maslahi ya Taifa". Hali ya Umeme nchini kwa sasa inapitia changamoto ya upungufu wa kima cha maji kwenye uzalishaji wa umeme, hili kinaeleweka na linavumikika, ufafanuzi huu wa Waziri Husika from the horses mouth

ni toshelevu na ùmeeleweka.

Ila hili la mgao wa maji!, kiukweli kabisa kwenye baadhi ya maeneo, ni zaidi ya mgao!. Mgao gani leo ni 10 days bila tone la maji!. Hili la ukosefu wa maji jee tatizo hili linaeleweka kuwa limesababishwa na ukosefu wa mvua?, jee linavumilika?. Maji ni uhai!, mtu unaweza kuishi bila umeme, wengi wetu tumezaliwa vijijini hakuna umeme, tumeishi, lakini maji ni uhai, huwezi kuishi bila maji!. Jee tunaweza kuishi bila maji?, huu ukosefu wa maji unavumilika?. Tufanyaje?.
Paskali

HAPANA ndugu Pascal Mayalla...!!

Unapiga siasa huku ukikwepa kutumia akili yako vyema ili kusema ukweli kuleta tiba sahihi na ya kudumu ya mambo haya kwa taifa letu...!

Ishu ya umeme na hayo mengine maji nk nk kwa hatua ya sasa hazina utetezi unaoweza kukubalika kwa watu wenye akili na ufahamu toka kwa serikali hii ya CCM ya sasa..!

Tatizo la ukame halijaanza leo wala jana. Na utetezi huu si wa kwanza. January Makamba na serikali kwa ujumla ina copy na kupaste tu sababu zilezile za miaka na miaka toka serikali zilizopita...!

Yaani ni takribani miaka 40 sasa utetezi huwa ni huu huu - yaani ukame na kupungua maji tokana na ukame..!!

Ilikuwa hivyo enzi za Hayati Ben Mkapa 1995 - 2005...

Suluhu yake ikawa ni makampuni ya uzalishaji umeme wa kutumia mafuta na ndipo kampuni ya IPTL na zingine zikaingia.. TUKALIWA kama nchi...

Haikuwa suluhu bali tatizo likipozwa tu kwa muda...

Ongezeko la watu na shughuli za uzalishaji kutumia umeme ziliongezeka sana na hivyo mahitaji ya umeme kuongezeka...

Mkapa akatoka zake. Na akaingia mzee wa Msoga Jakaya Kikwete 2005 - 2015...

Tatizo likawa kubwa zaidi na nchi kupitia wakati mgumu sana..

Utetezi ukikuwa ni huu huu, maji + ukame. Huyu akaja na suluhu mbili;

1. Mvua ya kutengenezwa (artigicial rain) toka Malaysia? Singapore? ili ijaze mabwawa yetu ya kuzalisha umeme. TUKALIWA, USHIRUKINA MTUPU..

2. Mradi ya GESI YA MTWARA uliotugharimu karibu trillion 3. NAO TUKALIWA MCHANA KWEUPE bila utatuzi kupatikana..!

Kikwete akaondoka na kuacha shida na matatizo yakiwa palepale..

Akaingia Rais John P. Magufuli 2015 - 2021. Akaipokea shida hii..

Huyu alikuja na approach ya aina yake kwa kutumia ubabe na akili anazozijua mwenyewe pekee..

To some extent aka - stabilize mambo. Umeme ukawa stable karibu kipindi chote cha miaka kama 6 cha uongozi wake. Kama ulikatika, basi mkatiko wake uliweza kuelezeka, watu wakaekewa na kuvumilia...

Kosa kubwa la huyu hata kuleta maswali kiasi cha watu kujiuliza tunafanya nini na tunapelekwa wapi na hawa watu, ni kuachana na mradi wa umeme wa gesi ya Mtwara ambao wao wenyewe walituambia ndiyo suluhu ya kudumu ya umeme Tanzania...!!

U - TURN hii ya ghafla, Ikatushangaza wengi...!!

3trn Tshs zikazikwa mchana kweupe huku tukiona kwa macho yetu...!

Badala yake, Magufuli naye akaja na wazo la kurudi kulekule kwenye umeme wa maji huku akijua lipo tatizo la ukame...

Akaja na mradi wa Stiglers Gorge HEP plant maarufu kama Mwalimu Nyerere HEP Power Station unaokula karibu TZS 8trn.. NA HAPA NI KAMA TUNAKWENDA KULIWA TENA...!!

Sasa watu kama hawa waliotengeneza wenyewe matatizo haya, wanawezaje kuyatatua wao wenyewe tens..?

Mr Pascal Mayalla ni miaka zaidi ya 35 sasa tatizo hili lipo na approach inayotumika ni ileile kwa muda wote huu huku nchi ikipoteza matrilioni ya shilingi bila tatizo kutatuliwa...??

Hawa ni watu wa namna gani unadhani? Unafikiri wanafeli wapi..?

Ni simple tu. SERA na MIPANGO YAO IMESHASHINDWA na haiwezekani tena kuaminika...

Kama wameshindwa kwa miaka 35 au 40 wanaweza vipi kwa miezi mitatu ijayo...?

TUFANYEJE SASA MAANA NDIYO WAPO MADARAKANI?

Jibu ni Rahisi tu:

1. Tuwafurushe waondoke kwenye mamlaka za kimaamuzi waje watu wangune wenye fikra na mipango tofauti..!

2. Kikwazo ni mfumo wa kisiasa unaozaa mfumo wa utawala wa nchi. Tubadili mfumo wetu wa kikatiba na kisheria, tutengeneze mpya utaozaa mfumo imara wa siasa na utawala unaowajibika kwa wananchi..

That's all. Achaneni na porojo za hawa.
 
Kula tano mwanangu, na kwa maelezo haya mujarabu usitegemee Paskali kurudi kwa ufafanuzi wowote. Ifahamike akili ya Paskali inafanana na hao hao waliosababisha hata matatizo ya umeme. Huko nyuma niliwahi kumuuliza hizi sifa kwa Magufuli kuhusu umeme wa maji kukiwa na tatizo la mabadiliko ya tabia nchi, badala ya ule wimbo wa uchumi wa gas tulioimbishwa kama wendawazimu. Na nani atalipa deni tulilowekeza kwenye umeme wa gas, aliishia kuleta porojo.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makalazangu za " Kwa Maslahi ya Taifa". Hali ya Umeme nchini kwa sasa inapitia changamoto ya upungufu wa kima cha maji kwenye uzalishaji wa umeme, hili kinaeleweka na linavumikika, ufafanuzi huu wa Waziri Husika from the horses mouth

ni toshelevu na ùmeeleweka.

Ila hili la mgao wa maji!, kiukweli kabisa kwenye baadhi ya maeneo, ni zaidi ya mgao!. Mgao gani leo ni 10 days bila tone la maji!. Hili la ukosefu wa maji jee tatizo hili linaeleweka kuwa limesababishwa na ukosefu wa mvua?, jee linavumilika?. Maji ni uhai!, mtu unaweza kuishi bila umeme, wengi wetu tumezaliwa vijijini hakuna umeme, tumeishi, lakini maji ni uhai, huwezi kuishi bila maji!. Jee tunaweza kuishi bila maji?, huu ukosefu wa maji unavumilika?. Tufanyaje?.
Paskali

Jana niliweza uzi humu nikimtaka rais aitishe kikao cha baraza la mawaziri kujadili ukosefu mkubwa wa maji jijini DSM, bila shaka chawa waliingilia na asubuhi ukawa umefutwa. Sijui kama jf bado ni home of GT
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makalazangu za " Kwa Maslahi ya Taifa". Hali ya Umeme nchini kwa sasa inapitia changamoto ya upungufu wa kima cha maji kwenye uzalishaji wa umeme, hili kinaeleweka na linavumikika, ufafanuzi huu wa Waziri Husika from the horses mouth

ni toshelevu na ùmeeleweka.

Ila hili la mgao wa maji!, kiukweli kabisa kwenye baadhi ya maeneo, ni zaidi ya mgao!. Mgao gani leo ni 10 days bila tone la maji!. Hili la ukosefu wa maji jee tatizo hili linaeleweka kuwa limesababishwa na ukosefu wa mvua?, jee linavumilika?. Maji ni uhai!, mtu unaweza kuishi bila umeme, wengi wetu tumezaliwa vijijini hakuna umeme, tumeishi, lakini maji ni uhai, huwezi kuishi bila maji!. Jee tunaweza kuishi bila maji?, huu ukosefu wa maji unavumilika?. Tufanyaje?.
Paskali

Jiheshimu pasco. Wengine tatizo letu kuu ni umeme sio maji....kwani unafikiri wote tunaishi dar?
 
HAPANA ndugu Pascal Mayalla...!!

Unapiga siasa huku ukikwepa kutumia akili yako vyema ili kusema ukweli kuleta tiba sahihi na ya kudumu ya mambo haya kwa taifa letu...!

Ishu ya umeme na hayo mengine maji nk nk kwa hatua ya sasa hazina utetezi unaoweza kukubalika kwa watu wenye akili na ufahamu toka kwa serikali hii ya CCM ya sasa..!

Tatizo la ukame halijaanza leo wala jana. Na utetezi huu si wa kwanza. January Makamba na serikali kwa ujumla ina copy na kupaste tu sababu zilezile za miaka na miaka toka serikali zilizopita...!

Yaani ni takribani miaka 40 sasa utetezi huwa ni huu huu - yaani ukame na kupungua maji tokana na ukame..!!

Ilikuwa hivyo enzi za Hayati Ben Mkapa 1995 - 2005...

Suluhu yake ikawa ni makampuni ya uzalishaji umeme wa kutumia mafuta na ndipo kampuni ya IPTL na zingine zikaingia.. TUKALIWA kama nchi...

Haikuwa suluhu bali tatizo likipozwa tu kwa muda...

Ongezeko la watu na shughuli za uzalishaji kutumia umeme ziliongezeka sana na hivyo mahitaji ya umeme kuongezeka...

Mkapa akatoka zake. Na akaingia mzee wa Msoga Jakaya Kikwete 2005 - 2015...

Tatizo likawa kubwa zaidi na nchi kupitia wakati mgumu sana..

Utetezi ukikuwa ni huu huu, maji + ukame. Huyu akaja na suluhu mbili;

1. Mvua ya kutengenezwa (artigicial rain) toka Malaysia? Singapore? ili ijaze mabwawa yetu ya kuzalisha umeme. TUKALIWA, USHIRUKINA MTUPU..

2. Mradi ya GESI YA MTWARA uliotugharimu karibu trillion 3. NAO TUKALIWA MCHANA KWEUPE bila utatuzi kupatikana..!

Kikwete akaondoka na kuacha shida na matatizo yakiwa palepale..

Akaingia Rais John P. Magufuli 2015 - 2021. Akaipokea shida hii..

Huyu alikuja na approach ya aina yake kwa kutumia ubabe na akili anazozijua mwenyewe pekee..

To some extent aka - stabilize mambo. Umeme ukawa stable karibu kipindi chote cha miaka kama 6 cha uongozi wake. Kama ulikatika, basi mkatiko wake uliweza kuelezeka, watu wakaekewa na kuvumilia...

Kosa kubwa la huyu hata kuleta maswali kiasi cha watu kujiuliza tunafanya nini na tunapelekwa wapi na hawa watu, ni kuachana na mradi wa umeme wa gesi ya Mtwara ambao wao wenyewe walituambia ndiyo suluhu ya kudumu ya umeme Tanzania...!!

U - TURN hii ya ghafla, Ikatushangaza wengi...!!

3trn Tshs zikazikwa mchana kweupe huku tukiona kwa macho yetu...!

Badala yake, Magufuli naye akaja na wazo la kurudi kulekule kwenye umeme wa maji huku akijua lipo tatizo la ukame...

Akaja na mradi wa Stiglers Gorge HEP plant maarufu kama Mwalimu Nyerere HEP Power Station unaokula karibu TZS 8trn.. NA HAPA NI KAMA TUNAKWENDA KULIWA TENA...!!

Sasa watu kama hawa waliotengeneza wenyewe matatizo haya, wanawezaje kuyatatua wao wenyewe tens..?

Mr Pascal Mayalla ni miaka zaidi ya 35 sasa tatizo hili lipo na approach inayotumika ni ileile kwa muda wote huu huku nchi ikipoteza matrilioni ya shilingi bila tatizo kutatuliwa...??

Hawa ni watu wa namna gani unadhani? Unafikiri wanafeli wapi..?

Ni simple tu. SERA na MIPANGO YAO IMESHASHINDWA na haiwezekani tena kuaminika...

Kama wameshindwa kwa miaka 35 au 40 wanaweza vipi kwa miezi mitatu ijayo...?

TUFANYEJE SASA MAANA NDIYO WAPO MADARAKANI?

Jibu ni Rahisi tu:

1. Tuwafurushe waondoke kwenye mamlaka za kimaamuzi waje watu wangune wenye fikra na mipango tofauti..!

2. Kikwazo ni mfumo wa kisiasa unaozaa mfumo wa utawala wa nchi. Tubadili mfumo wetu wa kikatiba na kisheria, tutengeneze mpya utaozaa mfumo imara wa siasa na utawala unaowajibika kwa wananchi..

That's all. Achaneni na porojo za hawa.
. AMEN.
 
Back
Top Bottom