nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,578
- 2,152
HahahaNimeona mahali, inasemekana Manager wa Maji anadai kuwa kuna ng'ombe 5000 mto Ruvu ndiyo wanaokunywa maji na kusababisha ukame kwenye mto.
Wakati huo huo kwenye umeme, Manager wa Tanesco Kinondoni amedai kuwa kuna kunguru wengi sana ndiyo wanaosababisha kukatika katika kwa umeme wilaya I Kinondoni.