Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,109
- 3,140
Kuna Mazingaombwe yametokea, kuna upungufu wa Umeme na ratiba ya mgao imetolewa na tayari watu wamezoea kushinda bila Umeme,nimeulizia jenerator la lita 3 ilimradi niweze kupiga hata photocopy nimeambiwa shilingi 300,000 jenerator la lita tano nimeambiwa shilingi 500,000, ndio uwezo wangu wacha ninunue jenerator la sh laki tano, hakuna namna Mzee, biashara ya jenerator imekuwa muhimu sana,hata ninyi mtanunua tu majenerator wazee, ni jambo la muda tu.
Ila ni dhahiri Mama anahujumiwa na wahujumu, wapo miongoni mwetu, kuna mawili wanatuhujumu au wanafanya yanayotakiwa yafanyike, kuhujumu Umeme na hatimaye igawiwe kwa Wajomba.
Kama si hivyo,kwa nini;-
Wasistaafishwe for the public interests
Huu mgao unaoendelea,kwa nini wahusika wasifunguliwe mashtaka kwa kutuletea upungufu wa Umeme na ratiba ya mgao wa Umeme wakati bwawa la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere likitakiwa liishe na kuanza kutumika mwaka huu 2023 na kutupatia Megawatt 2400 ambayo zingetoa Umeme Tanzania nzima na kuuza nje ya nchi ila leo bwawa halijaisha na Megawatt chini ya 1,000 na tuna mgao wa Umeme nchi nzima.
Net Solution, IPTL, RICHIMOND, DOWANS, PAP, Gesi ya Mtwara, sasa tuwape Waarabu watupatie Umeme kama sisi tumeshindwa kujipatia Umeme wenyewe ilihali nishati ya Umeme ipo hapa hapa Tanzania.