Naomba mnisaidie kuhusu PC yangu aina ya Lenovo ili nijue naanzia wapi

Mesorphine

Member
Oct 11, 2020
52
32
Hello wanajamii forum
Computer yangu aina ya Lenovo IdeaPad 110 imepatq changamoto hivi....
Ukiiwasha inawaka lakini ndan ya sekinde 5 inazima yenyewe na tatizo hili limeanza Jana tuu ila week hivi nilikua nikiwasha Inawaka ila kwenye battery status inaandika not charging then baada ya Dak 4 inazima.

Nimejaribu njia ya kutoa battery na then kuirusha ila bado ndio kabisa Inawaka na kizima chap.

Pia nimejaribu kutoa battery kabisa halafu nikaonganisha kwenye umeme lakini haiwaki kabisa.

Sasa ndugu zangu mnisaidie .....je ni adapter ndio yakubadilieha au battery peke yake au zote mana nawaza nikibadili vyote na isirudi katika Hali yake ya awali itakuwaje mana adapter 45k na battery 175k.
Naomba mwenye idea ili nijue kama nijaribu njia ipi au niwaze tuu kununua nyingne...
 
Jaribisha kuitesti adapter kabla ya kuinunua

Ila mbona bei sana hio adapter, bei mara nyingi huwa ni elf 20 hadi 25
 
Hello wanajamii forum
Computer yangu aina ya Lenovo IdeaPad 110 imepatq changamoto hivi....
Ukiiwasha inawaka lakini ndan ya sekinde 5 inazima yenyewe na tatizo hili limeanza Jana tuu ila week hivi nilikua nikiwasha Inawaka ila kwenye battery status inaandika not charging then baada ya Dak 4 inazima.

Nimejaribu njia ya kutoa battery na then kuirusha ila bado ndio kabisa Inawaka na kizima chap.

Pia nimejaribu kutoa battery kabisa halafu nikaonganisha kwenye umeme lakini haiwaki kabisa.

Sasa ndugu zangu mnisaidie .....je ni adapter ndio yakubadilieha au battery peke yake au zote mana nawaza nikibadili vyote na isirudi katika Hali yake ya awali itakuwaje mana adapter 45k na battery 175k.
Naomba mwenye idea ili nijue kama nijaribu njia ipi au niwaze tuu kununua nyingne...
Issue ni adapter..... Then adapter kariakoo ni 18000.. Ila hakikisha unaenda na specification ya adapter yako ya zamani...

Unaweza pewa adapter yenye power ndogo, ikiwa aicharge ila ina support tu
 
Shukran sana Mr...
Ngoja nifanyie kazi hii mana wengi wamenishauri adapter
 
Back
Top Bottom