Heri nusu shari kuliko shari kamili
Punyeto na porn ni mambo mawili ambayo yamekuwa tatizo kubwa hasa katika zama hizi za teknolojia za smartphones unazoweza kutumia ndani ya blanketi, chooni, vyumbani, n.k..
wengi wanaopiga punyeto wamejikuta wakiingia kwenye uraibu mwengine wa kuangalia wengine wakicheza video za ngono (porn)
Huu ni mchezo mbaya zaidi, mtu anafika kileleni kwa kumuangalia mwanaume mwengine, hisia zote anahamishia kwa mtu mwengine/
Ni kitu kinachopunguza sana confidence kuona wale wa kwenye video ni bora kuzidi wewe, kuanza kujiona una mapungufu, kutaka kufanana na wengine, kupunguza confidence, n.k. ni gonjwa baya sana la akili
Acha kuangalia porn, ni heri uwe unaperuzi picha za pisi za instagram au uwe unawafikiria huku ukivuta hisia kwenye fikra ni wewe ndie unafanya tendo
Punyeto ni hatari kwa afya yako, tafuta mwenzako.