Kwenda Club Usiku

Kwenda Club Usiku

Kwenda uwanjani na kuangalia mpira wa dkk 90
Nina rafiki yangu arsenal damu na huwa anakata msimu wote
Sasa huwa wakati mwingine ananipa ofa nikaangalie lakini wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaa kuna wengine inatushinda [emoji28][emoji28]
Mwanangu umemiss kitu kikubwa sanaa kwenye maisha yakoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Nyeto aisee
 
Best angu hii ni kwel tupu..angalia vile vizee vya simba na yanga maneno meengi hawana ht hela..mwanaume mpenda mpira hawez ht kifanya kazi...maana kila siku mamipira yanaoneshwa..naudhika sana aisee
[emoji21] wanakera sana kwa kweli halafu wanabishana mpaka povu
Ni kweli wengi wa washabiki huwa ni hohehahe nimeona wengi sana
Ni njaa sana na kuomba kwingi
 
Mkuu siko mbali na viwanja vya mpira vikubwa na kwa kweli sishabikii timu yoyote
Kwa ujumla sio hobby yangu kabisa na sijui kwanini
Uwezo wa kukata ticket hata kukaa kwenye box ninao na kuangalia lakini sijawahi kabisa
Duuh bhasi ndio maana... Ungekuwa unashabikia timu flani ingekuwa Rahisii
 
Aisee katika mambo yote ambayo vijana wenzangu wanafanya Ishu ya kwenda club usiku Ilinishindaa kabisaa... Niliwahi jaribu kwenda Club next door siku nkaishia kulala tu nkaona hii sio Fani yangu kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sikwenda tena hadi kesho siwezi sema Nitaudhuria show ya msanii usiku wala kwenda Club...

Ni kitu gani Kilikushinda kufanya wakati watu wanaenjoy kukifanya??
Tatizo mnakurupuka sana, kwa mamb msiyoyajua. hiyo mambo tuachie sisi

Me Ijumaa na jumamoc must niende club bila hivo wk-end inakuwa haijakaa sawa kwangu
 
Mwanangu umemiss kitu kikubwa sanaa kwenye maisha yakoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Nyeto aisee
Hahaaaaa tamu au [emoji23][emoji23]
 
Magame ya FIFA nimejaribu tokea zamani lakini wapi, washikaji walikua wanachuana kwa ratiba kabisa kama ligi ila kila nikijaribu sifurahii.
 
Back
Top Bottom