Kwenda Club Usiku

Kwenda Club Usiku

Best angu hii ni kwel tupu..angalia vile vizee vya simba na yanga maneno meengi hawana ht hela..mwanaume mpenda mpira hawez ht kifanya kazi...maana kila siku mamipira yanaoneshwa..naudhika sana aisee
Sasa tukianza kuwasema na ninyi mnaopenda club Alh hadi J2 si patachimbika hapa dada 😀
 
Club tamu sana nimemis kigoma cha Uruguay mambo ya dera bila chupi maeneo ya Royal Geraffe kila J'tano ya kila manz unayemgusa tako unakutana na cheni au shanga bila chupi dah tunakulaga raha mpaka tunasahau kama kuna kuded aiseeee [emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Magame ya FIFA nimejaribu tokea zamani lakini wapi, washikaji walikua wanachuana kwa ratiba kabisa kama ligi ila kila nikijaribu sifurahii.
Haa ha ha... Hata me bro aiseee sielewagi raha yake nina Ka uncle kangu kanapenda sana kucheza kila nikienda kananisumbua tucheze ila me aisee sina interest kabisaa
 
Club tamu sana nimemis kigoma cha Uruguay mambo ya dera bila chupi maeneo ya Royal Geraffe kila J'tano ya kila manz unayemgusa tako unakutana na cheni au shanga bila chupi dah tunakulaga raha mpaka tunasahau kama kuna kuded aiseeee [emoji23][emoji1787][emoji1787]
Aisee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Katika vitu nilivyokuja jutia ni muda niliopoteza kwenda club. Kesho yake unaamka saa sita. Hapo umelost sana. Nadhani ningekua mbali zaidi.
Dah mi ni mtu wa bajeti sana ila nikienda club bahati mbaya, nikiacha hela ndogo ni laki, laki na nusu...hata sijui natumiaje.. Kumbi za usiku zina mashetani
 
Club tamu sana nimemis kigoma cha Uruguay mambo ya dera bila chupi maeneo ya Royal Geraffe kila J'tano ya kila manz unayemgusa tako unakutana na cheni au shanga bila chupi dah tunakulaga raha mpaka tunasahau kama kuna kuded aiseeee [emoji23][emoji1787][emoji1787]
Hii club iko wapi aisee.... [emoji23]
 
Back
Top Bottom