Aisee mm natumiaga fegi ila shisha haipandi kabisa..Ile Shisha mzee ilinishinda, naona iliumbwa kwa wavuta fegi na genge lake kama weed na wengine
Hahaaaa kuna vingi tu sio puli [emoji23][emoji23][emoji23]Una raha gani duniani si ufe tu
Usingizi.Wakuu nina hamu ya kwenda Club leo.Je ni Club ipi ina bamba kwa sasa DAR?
Dunia nzima umebaki ww peke ako mwenye tabia hiyo![emoji3][emoji3]Mim kilichonishinda ni kuomba hela kwa mpenzi wangu,nko radhi nilale njaa kuliko kumwelezea mwandan wangu nina shida fulan,a minion fess nashkuru na napokea,asiponipa ndo basi. Mdomo unakua mzito kuomba.Sijui ni shda gn hata sijielewi.
[emoji3][emoji3][emoji3]AiseeeUna raha gani duniani si ufe tu
Kweli kabisaKula eye
Basi mwenyewe imenipita kushoto nikajua labda itakua inapanda kwa watu kama nyinyi wazee wa UbaloziAisee mm natumiaga fegi ila shisha haipandi kabisa..
Ukiionja hutoacha
Good luckBad thing siyo onja onja
Sasa si ndo raha ya Club me malaya walikuwa wanaomba niwanunulie Bia tucheze wote hili nalo lilinikatisha tamaa zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]Kubambia aiseee....
Yaani napenda nkienda club nicheze, niruke mpaka niridhike...sjui inakuaje watu hawachezi muziki wanapandishana genye tu kubambiana.