Kwenda Club Usiku

Kwenda Club Usiku

Mim kilichonishinda ni kuomba hela kwa mpenzi wangu,nko radhi nilale njaa kuliko kumwelezea mwandan wangu nina shida fulan,a minion fess nashkuru na napokea,asiponipa ndo basi. Mdomo unakua mzito kuomba.Sijui ni shda gn hata sijielewi.
 
Back
Top Bottom