Kwenda Club Usiku

Kwenda Club Usiku

Mie huwa nna mdomo mbaya sana ngoja nisiandike ninaloliwaza kwako...!kwamba unaovertake had kwenye KONA
Kuna wengine nikiwaona na mademu nawaza hawa lazma watakufa kwa ngwe ngwe... Kufa ni kufa tu no matter... Huwa naenjoy sana mkuu... Namshkaji wangu alipiga mzinga na gari hadi engine ilikuwa haifai kutumika hata kwa spear.... Na hakutoka mtu
 
Back
Top Bottom